Rais Magufuli afanya teuzi mbalimbali akiwemo DC mpya wa Ilala

Rais Magufuli afanya teuzi mbalimbali akiwemo DC mpya wa Ilala

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Rais Magufuli amemteua DED wa manispaa ya Kigamboni kuwa mkuu wa wilaya ya Ilala.

Kadhalika afisa elimu wa manispaa hiyo ameteuliwa kuu DED kule Mpimbwe mkoani Katavi.

2020 Hakunaga kama Dr Magufuli!

1.JPG
 
Rais Magufuli amemteua DED wa manispaa ya kigamboni kuwa mkuu wa wilaya ya Ilala.
Kadhalika afisa elimu wa manispaa hiyo ameteuliwa kuu DED kule Nyawhale Katavi.

2020 Hakunaga kama Dr Magufuli!
Kutoka DED kuwa DC. Kuwa DED Kuna maslahi kuliko DC.

Hapo mteuliwa ameshuka kimapato
Unateuliwa leo unatenguliwa mwezi ujao.Watumishi wengi wamebakia na aibu mitaani.wanajuta kuteuliwa.
 
Lisu atasema Magufuri ametoa rushwa kwa hivyo vyeo maana ni mgombea!
Risasi hazijawahi kumuacha mtu salama
 
Rais Magufuli amemteua aliyekuwa Mkurugenzi wa Kigamboni, Ng’wilabuzu Ndatwa Ludigija kuwa Mkuu wa Wilaya ya Ilala akichukua nafasi ya Mussa Ramadhan Chogelo atakayepangiwa kazi maalum katika Ofisi ya Rais

Aidha, Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mpimbwe, Erasto Nehemia Kiwale amehamishiwa kuwa Mkurugenzi wa Manispaa ya Kigamboni akichukua nafasi ya Ng’wilabuzu

Pia, Rais Magufuli amemteua aliyekuwa Afisa Wlimu Kigamboni, Catherine Michael Mashalla kuwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mpimbwe

BABC3DFF-19A5-4D23-9CEF-1891817AA05B.jpeg
 
Back
Top Bottom