Rais Magufuli afanya teuzi mbalimbali akiwemo DC mpya wa Ilala

Rais Magufuli afanya teuzi mbalimbali akiwemo DC mpya wa Ilala

Usikute uyo Ramadhan Chogelo anapelekwa NEC kufanyakazi maalum
 
Rais Magufuli amemteua aliyekuwa Mkurugenzi wa Kigamboni, Ng’wilabuzu Ndatwa Ludigija kuwa Mkuu wa Wilaya ya Ilala akichukua nafasi ya Mussa Ramadhan Chogelo atakayepangiwa kazi maalum katika Ofisi ya Rais

Aidha, Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mpimbwe, Erasto Nehemia Kiwale amehamishiwa kuwa Mkurugenzi wa Manispaa ya Kigamboni akichukua nafasi ya Ng’wilabuzu

Pia, Rais Magufuli amemteua aliyekuwa Afisa Wlimu Kigamboni, Catherine Michael Mashalla kuwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mpimbwe

View attachment 1532035
Haya majina yanayoanzia na Ng'wi.....yanafikirisha sana.
 
Kabla sijasoma hiyo barua ya Msigwa, nihesabie hapo, Wasukuma wamo wangapi? Jamaa anameamu kuziba masikio yote kuhusu kupendelea kabila lake. Bora hasara kuliko fedheha!
Rais Magufuli amemteua DED wa manispaa ya Kigamboni kuwa mkuu wa wilaya ya Ilala.

Kadhalika afisa elimu wa manispaa hiyo ameteuliwa kuu DED kule Mpimbwe mkoani Katavi.

2020 Hakunaga kama Dr Magufuli!

Kabla sijasoma hiyo barua ya Msigwa, nihesabie hapo, Wasukuma wamo wangapi? Jamaa anameamu kuziba masikio yote kuhusu kupendelea kabila lake. Bora hasara kuliko fedheha!
Kuna wachaga wawili na mpare mmoja!
 
Unateuliwa leo unatenguliwa mwezi ujao.Watumishi wengi wamebakia na aibu mitaani.wanajuta kuteuliwa.
Kuna wale maDED kwenye wilaya fulani mkoa wa Kagera walitumbuliwa mwaka jana kwa kishindwa kukumbuka na kutaja ktk mkutano wa hadhara fungu la fedha za barabara za wilaya zao. Mmoja wao mpaka leo hatoki ndani.
 
Itakuwa yule DEMU
 
Kabisa Lisu yeye abaki mchangamsha uchaguzi. [emoji3][emoji3][emoji3]
PANUA,UNATAKA NIKUPANUEEEEEEE........eeeeeh,MNATAKA KUPANULIWAAAAAAAAAA

Haya panueniiiiiiiiiiiiiii.

[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Rais Magufuli amemteua DED wa manispaa ya Kigamboni kuwa mkuu wa wilaya ya Ilala.

Kadhalika afisa elimu wa manispaa hiyo ameteuliwa kuu DED kule Mpimbwe mkoani Katavi.

2020 Hakunaga kama Dr Magufuli!

shida iliyopo kwenye awamu hii kwenye uteuzi wa nafasi za umma hakuna vetting kwa kutumia vigezo vya maadili wala uwezo wa mtu.

kigezo kikubwa ni kama mtu anajua kuimba mapambio ya kusifu na kuabudu, basi.

hii ni corruption of its kind!
 
Jamaa anapambana sana Dar es salaam iwe mkoani lakini wapi..Dar es salaam ni jiji
 
Hivi wanaposema kazi maalum wanamaanisha nini ?Huyu Ludigija siyo wa kwetu kule Ntuzu kweli ?
Sasa hivi kule serikalini, Banang'weli wapo wa kumwaga. Kiasi kwamba tunaweza kusema kwamba hatutoki hata muda wetu ukiisha na msitufanye kitu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom