Rais Magufuli afanya teuzi mbalimbali akiwemo DC mpya wa Ilala

Rais Magufuli afanya teuzi mbalimbali akiwemo DC mpya wa Ilala

Rais Magufuli amemteua DED wa manispaa ya Kigamboni kuwa mkuu wa wilaya ya Ilala.

Kadhalika afisa elimu wa manispaa hiyo ameteuliwa kuu DED kule Mpimbwe mkoani Katavi.

2020 Hakunaga kama Dr Magufuli!
Eti kwa kuteua ma-DED tu mnaona hakuna kama magu, duh kweli ccm hamnazo.
 
Lisu atakurupuka kwamba kwanini anafanya uteuzi wakati yeye ni mgombea,!
Acha ramli mkuu!
Kama hujui ndio uchochezi huo!
Kwani lisu haijui Katiba ya nchi kuhusu ukomo wa Raisi?!
 
  • Thanks
Reactions: PNC
... Alieteuliwa baada ya sofia mjema ata mwezi kwenye kiti hajamaliza
Labda kitengo kimepelea. Huenda ndie alikuwa akiandaa zile cenema za kununua mahindi. Aliechwa hapo kashindwa kuigiza hadi ana leta watu na bastola kwenye maigizo.
 
Inaonesha magufuli amesomea kuteua maana hii ni kila siku.....

Awamu ya kupiga makelele kuteua na kutengua.......
 
Inabidi afanye hivyo, vinginevyo atajikuta anatumia almost 1 trillion kulipa mishahara ya wafanyakazi.
Nani kamshitu/kamweka sawa mzee?Naona nafasi za kitendaji ameacha kupachika makada wa ccm.
 
Kigamboni kuna nini hapo maana katikaa hiyo barua imetajwa zaidi ya mara moja

Jamaa bado anapanga timu ya ushindi tu
 
Back
Top Bottom