johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Rais Magufuli amemteua DED wa manispaa ya kigamboni kuwa mkuu wa wilaya ya Ilala.
Kadhalika afisa elimu wa manispaa hiyo ameteuliwa kuu DED kule Nyawhale Katavi.
2020 Hakunaga kama Dr Magufuli!
Unateuliwa leo unatenguliwa mwezi ujao.Watumishi wengi wamebakia na aibu mitaani.wanajuta kuteuliwa.Kutoka DED kuwa DC. Kuwa DED Kuna maslahi kuliko DC.
Hapo mteuliwa ameshuka kimapato
Weka majina yao tuyaone......majina hasa ubini huwa yanareflect mengi kwenye uteuzi.Rais Magufuli amemteua DED wa manispaa ya Kigamboni kuwa mkuu wa wilaya ya Ilala.
Kadhalika afisa elimu wa manispaa hiyo ameteuliwa kuu DED kule Nyawale Katavi.
2020 Hakunaga kama Dr Magufuli!
Hivi wanaposema kazi maalum wanamaanisha nini ?Huyu Ludigija siyo wa kwetu kule Ntuzu kweli ?
Kwani viti maalumu humaanisha nini manka!Hivi wanaposema kazi maalum wanamaanisha nini ?Huyu Ludigija siyo wa kwetu kule Ntuzu kweli ?
Aliona maugoro yanayofanywa na makada wa ccm anaowateua akakoma mwenyewe.Nani kamshitu/kamweka sawa mzee?Naona nafasi za kitendaji ameacha kupachika makada wa ccm.
Tunaangalia cheo siyo maslahi bwashee!Kutoka DED kuwa DC. Kuwa DED Kuna maslahi kuliko DC.
Hapo mteuliwa ameshuka kimapato
Akina Katambi!Aliona maugoro yanayofanywa na makada wa ccm anaowateua akakoma mwenyewe.
Ni yeyeeee [emoji1][emoji1][emoji1]Hivi wanaposema kazi maalum wanamaanisha nini ?Huyu Ludigija siyo wa kwetu kule Ntuzu kweli ?
a.k.a meno machafu sasa hivi anarudi hapo Lumumba kuwapangia majukumu.Akina Katambi!
Nahisi hili neno wanatumia kutuficha sisi tuliosoma Ngumbaru!Hivi wanaposema kazi maalum wanamaanisha nini ?Huyu Ludigija siyo wa kwetu kule Ntuzu kweli ?