Eti kwa kuteua ma-DED tu mnaona hakuna kama magu, duh kweli ccm hamnazo.Rais Magufuli amemteua DED wa manispaa ya Kigamboni kuwa mkuu wa wilaya ya Ilala.
Kadhalika afisa elimu wa manispaa hiyo ameteuliwa kuu DED kule Mpimbwe mkoani Katavi.
2020 Hakunaga kama Dr Magufuli!
Acha ramli mkuu!Lisu atakurupuka kwamba kwanini anafanya uteuzi wakati yeye ni mgombea,!
TUNATEKELEZA.... Ilala ndan ya mwezi mmoja wakuu wa wilaya watatu sasa, [emoji848][emoji848]
Ulimsikia kuhusu jogoo kule Pwani?Acha ramli mkuu!
Kama hujui ndio uchochezi huo!
Kwani lisu haijui Katiba ya nchi kuhusu ukomo wa Raisi?!
TUNATEKELEZA.
MBOMBO JILIPO... Alieteuliwa baada ya sofia mjema ata mwezi kwenye kiti hajamaliza
Labda kitengo kimepelea. Huenda ndie alikuwa akiandaa zile cenema za kununua mahindi. Aliechwa hapo kashindwa kuigiza hadi ana leta watu na bastola kwenye maigizo.... Alieteuliwa baada ya sofia mjema ata mwezi kwenye kiti hajamaliza
Atakuja kuteua hadi maheadmasterRais Magufuli amemteua DED wa manispaa ya Kigamboni kuwa mkuu wa wilaya ya Ilala.
Kadhalika afisa elimu wa manispaa hiyo ameteuliwa kuu DED kule Mpimbwe mkoani Katavi.
2020 Hakunaga kama Dr Magufuli!
Nani kamshitu/kamweka sawa mzee?Naona nafasi za kitendaji ameacha kupachika makada wa ccm.
Ni jambo jema!... Ilala ndan ya mwezi mmoja wakuu wa wilaya watatu sasa, 🤔🤔
Kwani Aboubakar Kunenge anaishi wapi bwashee?!Hivi Waislam wanaishi Tanzania ?
Mwezi unauona mdogo?!... Alieteuliwa baada ya sofia mjema ata mwezi kwenye kiti hajamaliza
Anateua kwa mujibu wa katiba bwashee!Atakuja kuteua hadi maheadmaster