Rais Magufuli afanya uteuzi wa Mabalozi 21

Wewe nawe acha kudandia visivyo kuhusu ,unajua nimetoka wapi na Faiza mpaka kumuuliza haya

Halafu mimi sina dini

Hayo maswali muulizane nyie mtakaoenda kuonja pepo na ma bikira sijui 70 na kupewa nguvu ya kulala na wanawake mia sijui nini nini

Au waulize wagalitia habari za Yesu
 
Hii nchi Bila kuunda alshaababuuu ya tz tutaburuzwa na kuteswa mpaka basi, hiyo ndo Imani yangu tangu 2010, siamin Katika ukombozi kupitia siasa
 
Tuisome namba?

Hivi baina ya waislam na wakristo ambao wako serikalin hiv sasa wanaoisoma namba ni kina nan?

Then mnajua nyinyi wagalatia ni watu wa hovyo sana most of you


Kwaiyo unataka kuja na hoja kwamba huko serikalin waislam wanapendelewa siyo na nyinyi hampendelewi?

Very stupid...unaongea vitu ambavyo ukweli wake uko waz na unaujua sijui ili iweje...

Nachojaribu kukuambia wewe muimba kwaya ni kwamba

Enz kikwete yupo madarakan nyinyi mlikuwa ana udin na kuwapendelea waislam kwenye teuzi zake ili hali ukweli ni kwamba alikuwa anawapa nafasi kubwa nyinyi na mkazid kuwa vibaka...

Swali langu ni kwamba kipind kile mlitoa povu sana kikwete ni mdini..

Sisi sasa tunawauliza hiki anachokifa ya huyu muimba kwaya mwenzenu Juma Poor Manager tuite nin?

Kama upendeleo na udini unaweza pita kias hiki?
 
Bila shaka jibu umelipata

Nenda zako kasakate disko la bwana
 
Hayo yote anafanya. Anashindwa kusaini kibali cha ajira!?
Hapa sawa ni kazi juu ya kazi yeye ndio kila kitu yeye ni binge mahakama na ni mtoa vibali vyote cabinet haifanyi chochote bila saini yake haha hii ndio serikali mpaka baba aseme [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
 
Wewe mungiki acha kunisumbua nilichoongea nimemaliza kama hujakielewa kisome mara tatu kutwa.

Wengine tunaisoma number lakini nyie nyara za ccm mnaipayuka aisee huko sio kuisoma na bibi yako FaizaFoxy kiroboto
 
KILA LA KHERI kwao wakatuwakilishe watanzania vyema ,waitangaze vyema Tanzania pia wawe washauri WAZURI ktk kuvutia wawekezaji WA NCHI wanazotuwakilisha kuja TANZANIA !
 
Hivi Umoja wa Mataifa upo Geneva?
Someni Kituo cha kazi no 15 mnisaidie

Geneva ni HQs ya Umoja wa Mataifa ya Masuala ya kibinadamu-huko New York masuala ya siasa.
 
Namkubali sana Gen Mello, ana akili, busara na hekima. Siku moja atakuwa rais!
 
Komoro ingewakilishwa ama na balozi wa Msumbiji au balozi wa Madagaska; kuweka ofisi ya Ubalozi Komoro ni gharama za bure tu.
 
Hii nchi Bila kuunda alshaababuuu ya tz tutaburuzwa na kuteswa mpaka basi, hiyo ndo Imani yangu tangu 2010, siamin Katika ukombozi kupitia siasa
Thubutu,jaribuni muone, mnadhani nchi hii ni Somalia wanapowachekea chekea,ungekuwa na busara japo kuona yanayoendelea,usingeandika haya,hatujaribiwi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…