raiswenu
JF-Expert Member
- Apr 20, 2018
- 848
- 1,535
Hao wanasiasa si ndio umesema wamesoma ualimu? [emoji3][emoji3]Kwa kutaja ualimu umewataja walimu, au ww huoni? Kama ni hivyo unge deal na wanasiasa bila ku deal na ualimu, au wanasiasa wote ni walimu?Wewe unasoma chuo gani hicho? Haya ma-vyuo siku hizi mnakwenda hata division 0! Mimi nimesema nina kazi nzuri kuliko ya wanasiasa, wewe unaleta habari ya walimu! Sitakujibu tena. Nawezakuwa nabishana na mbumbumbu fulani nyuma ya keyboard!