Rais Magufuli afungua mkutano Mkuu wa Chama cha Waalimu, Corona imeisha, Shule za Msingi kufunguliwa karibuni

Rais Magufuli afungua mkutano Mkuu wa Chama cha Waalimu, Corona imeisha, Shule za Msingi kufunguliwa karibuni

Wewe unasoma chuo gani hicho? Haya ma-vyuo siku hizi mnakwenda hata division 0! Mimi nimesema nina kazi nzuri kuliko ya wanasiasa, wewe unaleta habari ya walimu! Sitakujibu tena. Nawezakuwa nabishana na mbumbumbu fulani nyuma ya keyboard!
Hao wanasiasa si ndio umesema wamesoma ualimu? [emoji3][emoji3]Kwa kutaja ualimu umewataja walimu, au ww huoni? Kama ni hivyo unge deal na wanasiasa bila ku deal na ualimu, au wanasiasa wote ni walimu?
 
Maana yake kuna ongezeko la wafanyakazi na mshahara. Alafu maisha hayarudi nyuma yanaenda mbele. Wafanyakazi wanaongezeka.
Labda wameongeza askari polisi na wanajeshi na kuongeza mishahara ya TEETH na PEACE THIBII.
 
Hapo yatajazana kuulizia nyongeza ya mshahara, hii kada sjui Kwa nn tu, ina member wenye low IQ sana. Bora ukauze maembe kuliko kuwa mwalimu.
Asee we jamaa enzi zako ulikuwa hupendi skul for sure hukufanikiwa kielimu. mnaowazaga kuvizia maticha chochoro mrushe mawe pimbi kwel..
 
Hapo yatajazana kuulizia nyongeza ya mshahara, hii kada sjui Kwa nn tu, ina member wenye low IQ sana. Bora ukauze maembe kuliko kuwa mwalimu.
Mkuu uko sahihi kundi kubwa lililopo huko ni wale waliopata division 4 form four tena point 28,29,30 wakaenda ualimu na kupata cheti daraja iiiA.
 
Back
Top Bottom