dah, mkuu nimeshindwa, nimelazimika nikuulize tu 'kwanini'?!!!Kuanzia leo naitwa Bupiji usiniulize kwanini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
dah, mkuu nimeshindwa, nimelazimika nikuulize tu 'kwanini'?!!!Kuanzia leo naitwa Bupiji usiniulize kwanini
Kuanzia Dream liner, Bombadia, mpaka zile VX na Helicopter anazotumia Magufuli zimetengenezwa na mabeberu na zikisumbia tu ni mabeberu hao hao wanaitwa kuzirekebisha. Sijui ni kwanini Magufuli hazilitii mashaka na badala yake anapotosha watanzania kuhusu Barakoa na Chanjo?
Farao ana matatizo makubwa kichwani.
Nawewe unaitwa hivo ili iweje kwa haraka mi nimehisi umeidharau hii dawa au nimekutafsiri vibaya lakin hii dawa imetoa watu wengi vitandaniKuanzia leo naitwa Bupiji usiniulize kwanini
Ametaka ushahidi. Ushahidi utolewa kwa namna tofauti. Si lazima uwe ushahidi ulo andikwa. Au Atafute magazeti ya wakati huo. Mzalendo, Mfanyakazi na Gazetu la uhuru, ilikuwa mwaka 1984. Usirukie mambo usiyo yajua.Umeulizwa swali badala ya kujibu unamwambia Kiranga amtafute Mzee Butiku amuulize?
Inaelekea hiyo story yako ni fiction.
Sent from my TECNO BC1 using JamiiForums mobile app
Wako sawa kabisa, kuanzia kesho matamko yanaanza upyaHapa nilipo leo limepita tangazo korona imerudi.. korona imerudi wananchi mchukue tahadhari.. kila nyumba au duka lazima iwe na ndoo ya maji, marufuku mikusanyiko.. ukikiuka unakamatwa na mgambo. Naomba nisitaje eneo hilo ili kulinda ajira/vyeo vya hawa werevu
Elimu elimu elimu.Mkuu ulimchanja Biden hiyo chanjo wewe. Anaweza kupiga hata juice tu ili RAIA waumini.
Vingapi tunatumia toka huko?Wakitaka kutumaliza unadhani wanashindwa?Chanjo na dawa tokea unazaliwa umepata ngapi?Una uhakika chanjo unayoletewa ndiyo hiyo ya akina Biden? Africa imeandaliwa chanjo yake tofauti na ya hao unaowataja ndugu yangu.
Wakuu,
Nimemsikiliza Rais Magufuli akiwa anaongea leo kanisani. Nimeshtuka, Rais anaongea kama layman kabisa. Hii ni hatari kwa Usalama wa Taifa kwa mtu ambaye amepewa dhamana ya juu kabisa hapa nchini.
Rais ni Comforter-in-Chief hivyo kama mfariji mkuu wa Taifa ana mamlaka makubwa aliyobebeshwa na hili inaelekea Magufuli analisahau sana. Huwezi toka huko na kuanza kuwambia watanzania eti “Kufa tutakufa tu”.
Rais ni kama BABA katika familia, na kwa Taifa yeye anasimama kama kichwa cha familia. Huwezi kuwa baba bora ukawa unatishia watu wako (wanao, mkeo, ndugu n.k). Kama baba, unaweza kulaumiwa, unaweza kuliliwa, unaweza kupongezwa, unaweza kuumizwa na hatutarajii kuwa utaitangazia familia kuwa wakome kufanya hivyo! Utakuwa umeshindwa kutekeleza majukumu yako.
Rais ni KIUNGO katika Taifa. Unapotokea mgawanyiko, ana wajibu wa kuhakikisha watanzania wanakuwa wamoja. Hili limekuwa likionekana kuwa tofauti kwa Rais wetu huyu.
Rais anapotoa kauli, ni kauli ya Taifa si yake. Mambo mengi anayoongea Magufuli watanzania walio wengi (wanaojielewa) watakubaliana nami kuwa si yale ambayo kimataifa tungependa kiongozi wetu ayaongee kwa niaba yetu!
Msikilize:
Sasa:
1) Magufuli leo kaongea UONGO mwingi kuhusu barakoa. Alichokiongea ni matusi kwa serikali yake mwenyewe!
- Kama barakoa zilizoingizwa nchini zina virusi au hazifai; kwanini watendaji wake wameziacha ziingizwe sokoni? Anataka kutuambia kuwa TBS na TFDA hawajui kazi yao? Kwanini watendaji wakuu wa taasisi hizi bado wapo kazini?
- Tukubali kuwa tumeingiziwa barakoa zenye kuwa na virusi ambazo zitawaua watanzania: Kwanini Mkurugenzi wa Idara ya Usalama wa Taifa, IGP na CDF bado wapo kazini? Taifa letu manake usalama wake upo hatarini. Kwa mantiki hiyo, maduka ya madawa yavamiwe mara moja na barakoa zote ziondolewe sokoni
2) Magufuli amekuwa Rais wa kwanza mimi kumuona akiwa anahubiri katika Ibada za Kanisa Katoliki. Huu ni utaratibu wa kawaida kwa wakatoliki? Halafu anawachamba viongozi wa kanisa kwa kuhimiza waumini kujilinda?
3) Rais ametangaza dawa kadhaa kama Bupiji, COVIDOL etc, anataka kuwaaminisha watanzania kuwa Sayansi nyingine haifanyi kazi tena? Kuwa watanzania wasiziamini dawa nyingine zinazotolewa hospitali tena? Haya matangazo ya dawa za asili imekuwaje hadi wasaidizi wake wamwacha hadi ataje baadhi ya dawa moja kwa moja (kwa kutaja baadhi tu)? Ana maslahi nazo? Nasikia mtu aliwahi kuwa RC wa Dar ana mkono kwenye pharmacy chain flani, na kuna tetesi kuwa yupo kwa niaba ya ‘mzee’; hii haoni inazidi kujenga hisia zisizo sahihi?
Nitarejea
V8 na VXRCha nje kilicho salama ni kipi?
Kwani nani hajapigwa?. Rais wa Amerika (Trump) alipigwa, Waziri mkuu wa Uingereza alitandikwa na kadhalika. Ni vita ya kibiolojia. Wa Uchina wamekazana kutaka kumpiga, wakashindwa. Wa Urusi wakashindwa.Nimeshangaa, he admitted hadi ndugu zake wamepigwa, watendaji wake wa karibu wamepigwa. Halafu yeye kama Rais anapokiri haya anataka tuchukulie “POA” tu?
We jamaa nimekupenda bure. Nilichojifunza kwa watanzania ni uhuru mwingi wa kupitiliza afu kila mtu anadhani yeye anajua kuliko wengine.mhe.rais ni kiongozi wetu na amesema wazi kwamba yeye anataarifa nyingi kuliko sisi wote.anavyombo vingi vya kumpa taarifa ata kutoka kwenye mataifa mengine. Wewe ni nani mpaka unamdaharau mhe rais .
Lakin pia nimepitia michango ya watu humu kuna mtu anasema ata bila aibu eti malikia wa Uingereza na marais wengine wamechanjwa hiyo chanjo ya pfizer na nyinginezo wakati taarifa zilionesha kwamba hao watu hawakuchanjwa walifanya udanganyifu wa kukusanya vyombo vya habari na kujifanya wanachanjwa wakati sindano zikioneshwa kwa siri kwamba zimefungwa kwenye ncha.
Lakini pia hizi chanjo zinamadhara kwa watu weusi wa marekani japo hawasemi wanaficha.kunawatu wamechanjwa a wamekufa.south africa wamekataa chanjo kwasababu wanasayansi wamevundua kwamba sio effective kwa kirusi kipya kilichoundergo mutation,mara kimeshakuwa covid 21 watanzania wanajifanya wao ni wanasayansi kuliko mhe rais ambaye walau ana phd ya sayansi.
Pia chanjo hizo za europe zimetengenezwa kwa genetic engenering madhara yake yanakuwa kwenye gene maana yake watu wasipokuwa makin waafrica wa miaka ijayo hawatakuwa waafrica wa leo. Madhara ya genetics ni ya vizazi na vizazi watu hawaweze kuelewa ilo.
China na urus wametengenez chanjo ila wakubwa wa dunia wako wanapigana vikumbo kutoidhinisha izo chanjo na wanataka ziundergo review process wakati zao hizo hazijapitia hizo process.Mkila mkashiba mnaanza madharau.
WATANZANIA WENZANGU tujitafakari wakati wa kutoa maoni.
asipowa comfort inakuaje hatari kwa usalama wa salama, watalipua mabomu ???Nimeshtuka, Rais anaongea kama layman kabisa. Hii ni hatari kwa Usalama wa Taifa kwa mtu ambaye amepewa dhamana ya juu
Rais ni Comforter-in-Chief hivyo kama mfariji mkuu wa Taifa ana mamlaka makubwa aliyobebesgwa . ....,,,,Huwezi toka huko na kuanza kuwambia watanzania eti “Kufa tutakufa tu”.