Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee hata kama unalipwa kulamba viatu lakini hii ni hatari kwa taifa kuwa na mtu kama wewe, anyway ni mtizamo wako/wangu.Shida yenu hampendi kuambiwa ukweli, barakoa ziliingizwa nyingi sana kipindi cha mwaka jana, na baada ya serikali kugundua hilo walianza kuzuia baadhi ya barakoa zinaonekana zina walakini,...
Huu ushahidi ungeuomba kwa rais aliyewatahadharisha watanzania kuhusu barakoa zinazotoka njeLeta ushahidi wa barakoa zilizoingizwa nchini bila uhakiki wa taasisi husika!
Ni aibu kubwa sana kwa taifa!Mkuu,
Umenisoma vema? Msikilize Magufuli wewe mwenyewe umsikie anachoongea...
kama walizihakiki ziliingiaje na virusi, watolewe na washtakiwe kwa kulihujumu taifaLeta ushahidi wa barakoa zilizoingizwa nchini bila uhakiki wa taasisi husika!
Karibu sana.....Mkuu ulipotea sanaMkuu,
Umenisoma vema? Msikilize Magufuli wewe mwenyewe umsikie anachoongea.
Inauma sana kuwa Kiongozi wetu anaongea mambo juu juu bila ninyi wasaidizi wake kumwambia yanamaanisha nini.
Sijasema zimeingizwa barakoa bila uhakiki bali kauli zake zinaleta tafsiri hiyo.
Kimsingi, anatuambia sisi raia wa kawaida kwamba we are vulnerable as a nation.
Msiweke propaganda mbele badala ya Utaifa kwanza. Tunaaibika pamoja kama Taifa!
Paragraph namba 3 nimeielewa vizuri mkuu.
Anasema watu wanakufa kwa mipango ya Mungu. Anajivua lawama kwamba hata watu wafe wangapi yeye hahusiki, hana uwezo wala jukumu la kuzuia hilo.
Ana uwezo mdogo sana wa kufikiri na anawapa kazi sana wasaidizi wake. Nahisi wameamua wamuache tu!
Kuhusu barakoa za nje hana point, anatafuta tu pakuchomokea kwenye Covid-19.
Mie siumii sana kura yangu hakupata, na kama aibu ni kwenu mliompigia na waliosaidia kumporea kura!
Kama zimehakikiwa kwa nini ziwe na virusi/bacteria?Leta ushahidi wa barakoa zilizoingizwa nchini bila uhakiki wa taasisi husika!
We kama umekata tamaa na maisha wengine wanaishi kwa raha nd wanaotetea uhai. We kama unatak kufa tu peke yako hmn anaekuzuia.Hivi mnataka Magufuli aweke nchi rehani apate hela ya kuwafungia awalishe? Aya Corona ipo and so what, mbona hao mnaotaka watusaidie kuhusu hii Corona ndo wanakufa kuliko sisi? Acheni usenge fanyeni kazi tukuze uchumi tutakao kufa tufe watakao ishi watanufaika na tukichowaandalia.
unless otherwise kama hujamuelewa jamaa. Logic yake ni simple tuu kama jamaa anatuhumu barakoa za nje zimehujumiwa kwa nini bado zipo sokoni? na taasisi zenye mamlaka kama zilishindwa kudhibiti watendaji wake watumbuliweLeta ushahidi wa barakoa zilizoingizwa nchini bila uhakiki wa taasisi husika!
Sasa Kama zilihakikiwa na zikaonekana ni salama,hizi kelele za kwamba hazifai zinatoka wapi?Leta ushahidi wa barakoa zilizoingizwa nchini bila uhakiki wa taasisi husika!
We unatakwimu gani kuwa wanakufa kuliko sisi? Au kwasababu wao wanatangaza kwa uwazi?Hivi mnataka Magufuli aweke nchi rehani apate hela ya kuwafungia awalishe? Aya Corona ipo and so what, mbona hao mnaotaka watusaidie kuhusu hii Corona ndo wanakufa kuliko sisi? Acheni usenge fanyeni kazi tukuze uchumi tutakao kufa tufe watakao ishi watanufaika na tukichowaandalia.
Kwa hiyo tunaomkosoa tuna chuki binafsi. Tema mate chini mkuu wangu!
Aaaah weweeee! So, nani alileta hizo kontena za za vifaa tiba zenye kuwa na nia ovu?
Mlitutangazia kama Taifa tumjue hasa adui yetu? Makontena tulionyeshwa?
Kama mlikaa kimya bila kuonyesha umma huu ushahidi muhimu - that never existed. Ni propaganda tu!
Again, hii issue ya maabara nikifunguka ninachojua utashangaa sana. Huyo mama aloondolewa kwenye nafasi hiyo yuko wapi? Kwanini anaendelea kulipwa maslahi yake vilevile? Kwanini haachwi aondoke nchini? Kwanini alisimamishwa akiwa mwenyewe mgonjwa?
Well, NANI zaidi alishiriki katika upumaji wa mapapai (nje ya Govt) ambaye wananchi tunaweza ambiwa alikuwepo pia, mfano ile task-force ya COVID iliyokuwa na WHO ndani na wadau kadhaa.
Matokeo ya vipimo hivyo hayakutakiwa kutolewa kisiasa, wangekuja out clean na kama ni kwei, WHO local office ingelazimishwa kukiri kuwa something was totally wrong na vipimo vile.
Niwie radhi, tunaohoji ni kwakuwa tuko concerned sana. Tumeshapoteza ndugu zetu! Si chuki kama udhaniavyo. Sikuombei yakufike, ila yasikie kwa mtu tu
Utter trash...! Udhihirishwa kwa "uvundo" wake. Tuonyeshe uvundo wa hicho unachokiita trash!!!Aisee. Inawezekana Rais anapodai “anayajua mengi” basi ni huku ndiko anakopatia hizo “alternative facts” anazoziamini sana? This is utter trash.
Kama kweli haya ndiyo aina ya maandiko yanayotumika na mkulu katika maamuzi kuhusu masuala muhimu ya kitaifa basi tumepata hasara isiyomithilika. Tusubiri rehema ya Mwenyenzi Mungu tu.
Kabla ya kupeleka sampuli za oil, kware, mbuzi nakadhalika...si tulikuwa tunaambiwa vipimo vya korona viko vizuri!? Je. Nini kilitokea baada ya hapo!?Sasa Kama zilihakikiwa na zikaonekana ni salama,hizi kelele za kwamba hazifai zinatoka wapi?