Rais Magufuli aidha amedanganywa kuhusu Barakoa au kuna tatizo sehemu (kwa alichoongea leo Feb 21, 2021)

Rais Magufuli aidha amedanganywa kuhusu Barakoa au kuna tatizo sehemu (kwa alichoongea leo Feb 21, 2021)

Shida yenu hampendi kuambiwa ukweli, barakoa ziliingizwa nyingi sana kipindi cha mwaka jana, na baada ya serikali kugundua hilo walianza kuzuia baadhi ya barakoa zinaonekana zina walakini,...
Aisee hata kama unalipwa kulamba viatu lakini hii ni hatari kwa taifa kuwa na mtu kama wewe, anyway ni mtizamo wako/wangu.
 
...ukitaka kuvaa barakoa kavae zilizotengenezwa na wizara ya afya - hizo za nje nani anaziingiza na kwanini hachukuliwi hatua?

...nataka niwaambie huu ndiyo ukweri

...kimbirio retu ni Mungu

...hizi tunazonunua madukani tutajiua wenyewe - nani anaruhusu ziingie nchini? Kwanini hadhibitiwi?

...titi lake moja likatolewa - kwanini anamuanika mwenzake jamani

...barakoa inatakiwa ivaliwe kwa masaa manne, siku ina masaa 48🤣
 
Kama jibu la moja kwa moja kwa JPM, nashauri Askofu amuwajibishe Paroko aliyesifiwa kwa kuongoza misa pasipo kuvaa barakoa ilhali kanisa lilishatoa mwongozo.

Padre huyo anafaa zaidi kuwa mshauri wa kiroho wa JPM badala ya kuongoza misa pasipo kufuata utaratibu uliowekwa na wakuu wake.
 
Ni TMDA Mkuu hatuna tena TFDA ishavunjwa kitambo vifaa tiba ni TMDA, ile kazi ya kushughulikia na vyakula wameipeleka TBS nadhani.
 
Mkuu,

Umenisoma vema? Msikilize Magufuli wewe mwenyewe umsikie anachoongea.

Inauma sana kuwa Kiongozi wetu anaongea mambo juu juu bila ninyi wasaidizi wake kumwambia yanamaanisha nini.

Sijasema zimeingizwa barakoa bila uhakiki bali kauli zake zinaleta tafsiri hiyo.

Kimsingi, anatuambia sisi raia wa kawaida kwamba we are vulnerable as a nation.

Msiweke propaganda mbele badala ya Utaifa kwanza. Tunaaibika pamoja kama Taifa!
Karibu sana.....Mkuu ulipotea sana
 
Kwahiyo Mungu ndiye anaua watu? Sasa mbona wanasema Mungu yupo na Tanzania kuliko nchi zote duniani? Au katoka kidogo?
Anasema watu wanakufa kwa mipango ya Mungu. Anajivua lawama kwamba hata watu wafe wangapi yeye hahusiki, hana uwezo wala jukumu la kuzuia hilo.

Ana uwezo mdogo sana wa kufikiri na anawapa kazi sana wasaidizi wake. Nahisi wameamua wamuache tu!
 
Kuhusu barakoa za nje hana point, anatafuta tu pakuchomokea kwenye Covid-19.

Mie siumii sana kura yangu hakupata, na kama aibu ni kwenu mliompigia na waliosaidia kumporea kura!

Amekaribia kukiri covid-19 ipo. Ameanza kuzungumzia barakoa, kifuatacho ni kusema covid-19 imeletwa na barakoa hizo. Nilisikia mmoja akisema “......mwaka jana Mungu alituponya.....”. Wameanza hata kumdhihaki Mungu na kumlaumu kwa mwaka huu!
 
Hivi mnataka Magufuli aweke nchi rehani apate hela ya kuwafungia awalishe? Aya Corona ipo and so what, mbona hao mnaotaka watusaidie kuhusu hii Corona ndo wanakufa kuliko sisi? Acheni usenge fanyeni kazi tukuze uchumi tutakao kufa tufe watakao ishi watanufaika na tukichowaandalia.
We kama umekata tamaa na maisha wengine wanaishi kwa raha nd wanaotetea uhai. We kama unatak kufa tu peke yako hmn anaekuzuia.

Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
 
Leta ushahidi wa barakoa zilizoingizwa nchini bila uhakiki wa taasisi husika!
unless otherwise kama hujamuelewa jamaa. Logic yake ni simple tuu kama jamaa anatuhumu barakoa za nje zimehujumiwa kwa nini bado zipo sokoni? na taasisi zenye mamlaka kama zilishindwa kudhibiti watendaji wake watumbuliwe
 
Hivi mnataka Magufuli aweke nchi rehani apate hela ya kuwafungia awalishe? Aya Corona ipo and so what, mbona hao mnaotaka watusaidie kuhusu hii Corona ndo wanakufa kuliko sisi? Acheni usenge fanyeni kazi tukuze uchumi tutakao kufa tufe watakao ishi watanufaika na tukichowaandalia.
We unatakwimu gani kuwa wanakufa kuliko sisi? Au kwasababu wao wanatangaza kwa uwazi?

Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
 
Kwa hiyo tunaomkosoa tuna chuki binafsi. Tema mate chini mkuu wangu!

Aaaah weweeee! So, nani alileta hizo kontena za za vifaa tiba zenye kuwa na nia ovu?

Mlitutangazia kama Taifa tumjue hasa adui yetu? Makontena tulionyeshwa?

Kama mlikaa kimya bila kuonyesha umma huu ushahidi muhimu - that never existed. Ni propaganda tu!

Again, hii issue ya maabara nikifunguka ninachojua utashangaa sana. Huyo mama aloondolewa kwenye nafasi hiyo yuko wapi? Kwanini anaendelea kulipwa maslahi yake vilevile? Kwanini haachwi aondoke nchini? Kwanini alisimamishwa akiwa mwenyewe mgonjwa?

Well, NANI zaidi alishiriki katika upumaji wa mapapai (nje ya Govt) ambaye wananchi tunaweza ambiwa alikuwepo pia, mfano ile task-force ya COVID iliyokuwa na WHO ndani na wadau kadhaa.

Matokeo ya vipimo hivyo hayakutakiwa kutolewa kisiasa, wangekuja out clean na kama ni kwei, WHO local office ingelazimishwa kukiri kuwa something was totally wrong na vipimo vile.

Niwie radhi, tunaohoji ni kwakuwa tuko concerned sana. Tumeshapoteza ndugu zetu! Si chuki kama udhaniavyo. Sikuombei yakufike, ila yasikie kwa mtu tu

hawa watu ni wapuuz sana aisee, ngoja nikupe mfano wa ndugu yangu SHANGAZI, ana kakake Soldier alidondoka kwa kovid, wakasafir yeye SHANGAZI na RAFIKI yake, kwenda kwene mazish kidogo tu kurudi yule rafik ake kaumwa kadondoka, then aunty nae kadondoka, yan hili zee nimelichukia sana yan, ni jingaa
 
Aisee. Inawezekana Rais anapodai “anayajua mengi” basi ni huku ndiko anakopatia hizo “alternative facts” anazoziamini sana? This is utter trash.

Kama kweli haya ndiyo aina ya maandiko yanayotumika na mkulu katika maamuzi kuhusu masuala muhimu ya kitaifa basi tumepata hasara isiyomithilika. Tusubiri rehema ya Mwenyenzi Mungu tu.
Utter trash...! Udhihirishwa kwa "uvundo" wake. Tuonyeshe uvundo wa hicho unachokiita trash!!!
Sasa Kama zilihakikiwa na zikaonekana ni salama,hizi kelele za kwamba hazifai zinatoka wapi?
Kabla ya kupeleka sampuli za oil, kware, mbuzi nakadhalika...si tulikuwa tunaambiwa vipimo vya korona viko vizuri!? Je. Nini kilitokea baada ya hapo!?
 
Back
Top Bottom