Rais Magufuli aieleze dunia nani anapanga mashambulizi ya Mbowe na Lissu jijini Dodoma?

Hayo maigizo yenu ni yakitoto sioni kama Kuna point ya kumiinguza ikulu sio kisa mmeitwa wapinzani basi kila linaloendelea mnachomekea na huo upinzani ina maana hakuna maisha ya kawaida sasa maisha yenu yote mmewekeza kwenye siasa
Nyie magaidi hotuba ya kutangaza nia Lissu imeshawatoa ufahamu
 
Hacha kumuhusisha raisi na mambo ya kizwazwa.......unapata wapi ujasiri wa kuongea pumba ivo...??sasa hapa raisi amehusikaje??.....hata kama humpendi sio kiivo.....
 
CCM imekosa sifa ya kua chama cha siasa imekosa ushawishi wa hoja sasa inatumia mabavu na hujuma dhidi ya wapinzani wake
 
Baada ya Dk Mollel kutaka kuweka hadharani mbinu zote ambazo chadema walipanga kumshambulia Lisu ili kumzuia asigombee uenyekiti wa chama naona Mbowe anajihami kwa kutuletea igizo la kushambuliwa!!!
Hii ndiyo akili ya mtu mweusi! Unachopanda ndiyo utakachovuna endeleeni kupalilia mbegu ya chuki! [emoji849]
 
Muwe mnapunguza viwango vya upumbafu maana ujinga uwa unatoweka, katika nchi inayoendeshwa kisheria inawezekanaje kukawa na vikundi vya kihuni Kama unavyodai na huku vyombo vya ulinzi na usalama vikiwepo waachiwe tu! Hili pori linaloitwa Tanzania tuko wote lichomeni tu Moto ukikolea na ukawashinda kuuzima kitaungua hata kilembwe chenu!! Wako akina sadam na akina gadaf!?
 
Wanajikita kwenye madhaifu kufanyaje kusifu au kukosoa!?
 
Namkumbuka Mzee Mangula. Hivi nani na kwa nini walimlisha sumu? Mwakyembe aliponea chupu chupu.
 
ccm ni chama cha mauaji
 
Baada ya Dk Mollel kutaka kuweka hadharani mbinu zote ambazo chadema walipanga kumshambulia Lisu ili kumzuia asigombee uenyekiti wa chama naona Mbowe anajihami kwa kutuletea igizo la kushambuliwa!!!
Wewe unaweza igiza kuvunjwa mguu; unayajua maumivu ya kuvunjika mguu wewe? usiongee matapishi naomba uwe objective. Dont let your skewed political fanaticism cast shadow on your thinking capacity. This is purely politically motivated mental degradation
 
Kama hawa watu wasiojulikana bado wapo nchini ni na IGP ameshindwa ni wakati umefika sasa serikali kutangaza hali ya hatari kila mtu ajilinde kwa nchi sasa inakikundi cha hatari cha waasi kama kile cha ADF
 
Hili nalo linaweza kuwa igizo lingine kama Yale mengine.

The project within
 
Usijitoe akili kueleza ujinga hapa CCM ndo genge la uhalifu ,period!
 
We ulikuwa kwenye hilo genge
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…