Rais Magufuli aieleze dunia nani anapanga mashambulizi ya Mbowe na Lissu jijini Dodoma?

Hasira za nini mkuu, usipaniki kwani ngoma ndiyo kwanza inaanza, umesema kuhusu vyeti feki, naona nisiseme mengi kwani hata nikisema tuzungumzie vyeti/shule ya yule bwana najua tutaanza kuraruana kama hichi kidogo umepaniki hivi. Je wajua kuna vyeti feki na uraia feki pia?
 
Inasikitisha sana
 

Rais fake mwenye vyeti fake pia....!!!
Udaktari wake ni fake na ndo maana waliohoji uhalali wa Udaktari wake kutoka UDSM mpaka leo wamepotezwa k.m. Ben Saanane.
 
Yaaani bia anywe mwingine...ateleze na kuanguka...maelezo atoe Rais wa JMT
 
Mara zote hujuma wanazofanyiana wapinzani wao kwa wao wanazitupia imma kwa CCM ama kwa Rais Magufuli.
Lakini mungu yupo pamoja na hili taifa teule la Tanzania.
Mungu ibariki zaidi Tanzania

Yes, Mungu yupo kabisa pamoja na taifa lake hili teule...

Lakini obviously, hayuko pamoja na serikali ya KIHALIFU DHIDI YA BINADAMU...!

Mungu siku zote hulinda "kiti chake cha Urais" lakini kamwe hamlindi Rais - mtu - binadamu mhalifu aliyemruhusu kukalia kiti chake na kisha kukinajisi....

John Pombe Magufuli hastahili tena kukalia kiti hicho. Anekichafua. Amekinajisi...

Mungu sasa yuko tayari kuchukua hatua kali za kinidhamu kama walivyoadhibiwa wafalme wa Israel kina Sauli, Nebukadneza kwa kuwataja wachache....

Na haya mambo hufanyika na hutokea hivi hivi kama utani huku walevi wa madaraka wa aina hii ya John Pombe na Job Ndugai wakila na kunywa na kuponda raha zote za duniani wakiwa wamejaa kiburi cha uzima/uhai...

Ni pale wanapojiona wao ni wababe huku wamejizungushia gadi ya ulinzi wa kibinadamu wa nguvu kama walivyofanya kina Iddi Amin Dada (Uganda) ama Adolf Hitler (West/East Germany by then).....

Lakini nyuma ya pazia, ndipo anguko lao la ghafla, la kuhuzunisha na la aibu kuu hutokea na huwapata "wafalme" wa dizaini hii na kuwaacha wakilia na kusaga meno...

Mungu muumba wa mbingu na nchi tuokoe na tusadie kutuondolea utawala huu muovu. Amina....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…