Rais Magufuli ajibu hoja za Marekani, Asijifiche kwenye hoja za uzalendo, Kwanza sio Mzalendo

Swali dogo tu plz naomba jibu hivi Magu anawajibika kwa marekani hadi ajibu hoja zao?

Yes! Marekani wanampa mikopo na misaada yenye masharti nafuu...!
Masharti hayo ni pamoja na kuendesha na kusimamia UTAWALA BORA....!
Wamerekani hawataki kuona Fedha yao inatumika ndivo sivo hivo wana haki ya kuhoji.,.!!
 
Wewe nae una hoja au vihoja?
 
Mkuu uyasemayo yawezekana ikawa kweli ama lah! kwan hakuna ushahidi wa moja kwa moja kulielezea ama kulionyesha hilo though tunatumia utashi binafsi + hisia kuelezea ktk hali hiyo uisemayo.

Hakuna asiyejua ya kuwa wanasiasa & watu maarufu + matajiri ni watu wenye maadui wengi sasa ya nini kumnyooshea kidole fulani ya kuwa ndio mhusika? huoni ya kuwa huo ni mtazamo wa ki-hisia zaidi kuliko uhalisia?
 
Utawala wa Marekani nao hiwa wanateka wananchi wao wanaomkosoa Rais? Mbona Trump anasema kila siku lakini hatusikii waliotekwa?
Hivi mkuu unaweza thibitisha hizi tuhuma hizi nzito kwa taifa letu?
 


JPM hana sababu yoyote ya kuwajibu USA, wao ni kina nani? Nyie mnaowaabudu USA hameni nchi.
 
Mbona a
Mbona amesha waijibu???? Some times being silenc the best reply.
'Silence is Golden'
 
Si vyema kujipiga kifua wkt upo hoi taabani. Kuongoza nchi ni maarifa na hekima.
 
Dikteta hawezi kua mzalendo anakuwepo madarakani kwa ajili ya maslahi ya kundi dogo sn linalotawala nchi.....
 
You write like a diva. Man up and write like a man. "unachekesha kweli !"
 
Jibu hoja, Marekani kavunja haki gani za binadamu?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Swali dogo tu plz naomba jibu hivi Magu anawajibika kwa marekani hadi ajibu hoja zao?
Kama hoja zao zinamhusu yeye au Tanzania, ajibu mwenyewe au kupitia kwa Msigwa wa Ikulu au Hassan msemaji wa Serkali. Kukaa kimya ni kushindwa kujibu kwa sababu hoja ni za kweli. Marekani wanajua nchi hii, yaliyomo na yanayotendeka humo kila siku kuliko huyo anaeshauriwa ajibu hoja zao. Ndani ya Ubalozi wa Marekani Dar kuna mfanyakazi wa kila Idara muhimu ya Serkali yao na teknolojia ya hali ya juu ya mawasiliano na kwao. Maili 25 tu juu ya anga ya Tanzania wana mitambo inaangalia kinachoendelea hapa chini kama were unavyoangalia wapita njia ukiwa ghorofa ya kwanza nyumbani kwako. Msaidie kujibu!
 
Kwa hiyo Tindu lisu ndio msaliti? Alitisaliti kwa hao walokuwa wanachimba madini?

Kama ni kweli msaliti na yaliyosemwa na Magufuli yalimuhusu basi kwa kinyakyusa tunasema mbombo ngafu.. I wish isiwe kweli hana usaliti wowote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Si vyema kujipiga kifua wkt upo hoi taabani. Kuongoza nchi ni maarifa na hekima.
Haiwezekani watu wote kwenye taifa kuwa watawala ama kutawala, ni lazima watawale wachache. Ila suala la wachache hao kutawala kwa maslahi yao hilo ni jambo jingine
 
We kweli pompimpo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe naona ushapelekewa moto

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inaonekana ww ulikuwa kwenyemkumbo wa veti fake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…