Sijijui
JF-Expert Member
- Jan 14, 2018
- 7,877
- 8,804
Msome kwanza huyo niliyemquote ndo utanielewaSasa TZ kumuwekea vikwazo USA wapi na wapi mzee baba!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Msome kwanza huyo niliyemquote ndo utanielewaSasa TZ kumuwekea vikwazo USA wapi na wapi mzee baba!
Subiri wanaume waongee wewe vaa kanga tulia chumbani!Kwa hiyo wewe Mungu wenu Marekani ndo anakupeleka choo?
UTUMWA huo kamanda!
Zinduka.
Unataka akujibu wewe ama Marekani? Kama ni Marekani ameshajibu tena kwa kutuma mtu.Marekani haijamtuma mtu kuua watu kufunga watu na kuteka watu hapana, Marekani haijatuma mtu kuwashambulia watu kwa risasi hapana, Marekani haijamtuma kuzima vyombo vya habari na kuzuia siasa kwa wapinzani kwa miaka 5 hapana,
Kama serikali haijawatuma hao watu kwanini hafanyi upelelezi kuleta mlejesho? kwanini hawakamatwi watekaji? wauaji na wanaopiga risasi?
Eti hoja ni kwa vile kadhibiti madini yasiibiwe hoja ya kipumbavu kweli nawapa somo tu wafuasi mnaoamini izi propaganda kutoka Ikulu ya Magufuli, hakuna nchi iliyodhibiti rasilimali zake kama Botswana lakini huwezi sikia wanapambana na upinzani.
Na huwezi sikia Marekani ikiwanyoshea kidole halafu eti unasema umedhibiti madini yapi yale ya twiga 84/16 upo serious kweli? unachekesha kweli ! jibu hoja za Marekani.
Umeyakoroga mwenyewe yanywe mwenyewe hakuna atakayekubeba uvune ulichopanda nakuhakikishia uchomoki uchaguzi mwaka huu.
Maneno haya ungemwambia Kabudi na Mh. Rais.Marekani ndo nani?
Yeye anaweza akajibu hoja zetu?
Yaani Marekani ndo kawa Mungu wenu?
Yeye ana utakatifu gani?
Hivi ukiongea masuala ya ukiukaji Haki za Binadamu, huyo Marekani anaweza hata kusogeza pua yake?
Anaweza hata kujilinganisha na Tanzania?
Akili za kitumwa hizo kamanda!
Mnajipendekeza hadi mnatia kichefuchefu.
Kama Marekani siyo rafiki yetu, rafiki yetu atakuwa ni yule anayeteka watu, anayesingizia watu kesi za uhujumu uchumi na utakatishaji fedha haramu, anayepoteza watu na anayeshambulia watu kwa risasi kwa sababu wamemkosoa?Wewe marekani ni nani kwako... Wewe anaweza jibu hoja zako... Katiba yetu inamtambua mtu anaitwa mmarekani hadi rais wetu ajibu hoja... Au unafikiri marekani ana urafiki na wewe.? Ungejua ya nyuma ya pazia ya marekani wala usingeongea.
Usiishie kujiuliza hilo tu. Jiulize pia, hivi Marekani, ni Baba yetu hadi Magufuli amtume Kabudi kwenda kuomba fedha?Swali dogo tu plz naomba jibu hivi Magu anawajibika kwa marekani hadi ajibu hoja zao?
Tinajidhalilisha zaidi kama Taifa, tunapokuwa na viongozi ambao hawatendi haki kwa watu wake.Mnatia kichefuchefu kumuona marekani kama ndo standard unit wa kulinda haki za binadamu wakati dunia nzima inajua the opposite is true.
Kauwa wangapi inocent kuliko hata Lisu?
Leo akikohoa tu mnakimbilia JF kuanzisha thread kama vile Mungu kakohoa?
Mengine mnajidharilisha tu makamanda.
Utawala wa Marekani nao hiwa wanateka wananchi wao wanaomkosoa Rais? Mbona Trump anasema kila siku lakini hatusikii waliotekwa?We la Marekani hulioni unaona la Tanzania tu?
Hivi kwenye haki za binadamu unaweza kumquote Marekani kweli?
Mmekuwa brainwashed utafikiri hamjasoma?
Mnatia kichefuchefu!
Unayoyasema hatuna uhakika nayo lakini tuna uhakika Marekani hawawateki wala kumpoteza mtu yeyote anayemkosoa Trump. Trump anajibizana na wakosoaji wake kwenye tweeter kama wanadamu wenzake. Hawapotezi watu.Marekani si kielelezo sahihi cha Democrasia ama utawala bora am,bao wengi wetu tumekuwa tukiulilia na wala wao pia hawana hizo kitu ktk utawala wao, sasa inakuwaje USA wakisema jambo huku tunalishupalia km vile ndio kilakitu?
USA walimpiga tik tak Hillary Clinton, CIA + DEA & Navy Seals wanatekeleza matukio mazito tuu na ya kutisha ila wote twajifanya hatuyaoni wala kuyasikia, ajabu tunashupalia kauli zao eti kisa zinambeba fulani ama kumzodoa fulani. And for that - we have a long way to go!
SIKU INZI AKIACHA UJINGA ATATENGENEZA ASALI
Mkuu wewe ni mmoja wa watu ninaowaheshimu hapa jf kutokana na uwezo wako wa kujenga hoja... Pia hoja yako nakubaliana nayo japo sio 100%....Sisi bado hatujafikia uwezo wa kuuona ubaya wa marekani... Bado tunamuona kama mtu mzuri kwetu kutokana na misaada yake...Kama Marekani siyo rafiki yetu, rafiki yetu atakuwa ni yule anayeteka watu, anayesingizia watu kesi za uhujumu uchumi na utakatishaji fedha haramu, anayepoteza watu na anayeshambulia watu kwa risasi kwa sababu wamemkosoa?
Ubaya wa Marekani hatujauona lakini ubaya wa anayeua watu, kuteka watu, kuwapoteza watu, kubambikia watu kesi zisizo na dhamana, timeuona na tunaujua. Kama una mashaka na hilo, kaitembelee familia ya Ben Saanane, Azory Gwanda, Tundu Lisu, na wale wote waliorundikwa Segerea kwa uonevu, na kuamriwa wakiri na kulipa pesa walizopangiwa ili watoke.
Kuna, tofauti ya kusali Na kuonekana nyumba za ibadaOgopa sana mtu anayekwenda madhabahuni kila siku na makamera halafu afanyayo ni tofauti na mafundisho ya Mungu.
Mtu huyo ni wa hatari maana hanuogopi hata mola kwani anamtapeli
Sent using Jamii Forums mobile app
Ilikuwa lzm innocent watolewe kafala ili wwe ubakie Salama,Bila hivo ungeshalipuliwa Na magaidi kitambo,msitetee umwagaji damu sababu ni wanufaikaMnatia kichefuchefu kumuona marekani kama ndo standard unit wa kulinda haki za binadamu wakati dunia nzima inajua the opposite is true.
Kauwa wangapi inocent kuliko hata Lisu?
Leo akikohoa tu mnakimbilia JF kuanzisha thread kama vile Mungu kakohoa?
Mengine mnajidharilisha tu makamanda.
Ndio wanaohudumia wakimbizi dunian kikiwaka hivo kinga ni boraSwali dogo tu plz naomba jibu hivi Magu anawajibika kwa marekani hadi ajibu hoja zao?
Ukitaka ccm ife kuwe Na tume huruHoja ya kwanza ya Marekani ni Tume huru..
Aisee hawa jamaa kweli wametupania.. sasa hiyo tume huru sisi tuitoe wali wajemeni?
Hatuwwezi jisimamia nguvu ya nje dhid ya uovu ni muhimu.Kama mnatenda haki hofu ya nnWewe marekani ni nani kwako... Wewe anaweza jibu hoja zako... Katiba yetu inamtambua mtu anaitwa mmarekani hadi rais wetu ajibu hoja... Au unafikiri marekani ana urafiki na wewe.? Ungejua ya nyuma ya pazia ya marekani wala usingeongea.
Unfortunately umeandika kwa hasira na hivyo ukawa umeshindwa kutenganisha hisia na facts. Kuhusu watu kutekwa na kuteswa, ungejua yaliyomkuta Dr Ulimboka ni zamani sana tunaweza kuwa tumesahahu. Kuhusu watu kupigwa risasi ungejua watu waliopigwa risasi Mwembechai ni zamani sana, tunaweza kuwa hatujui tena.Marekani haijamtuma mtu kuua watu kufunga watu na kuteka watu hapana, Marekani haijatuma mtu kuwashambulia watu kwa risasi hapana, Marekani haijamtuma kuzima vyombo vya habari na kuzuia siasa kwa wapinzani kwa miaka 5 hapana,
Kama serikali haijawatuma hao watu kwanini hafanyi upelelezi kuleta mlejesho? kwanini hawakamatwi watekaji? wauaji na wanaopiga risasi?
Eti hoja ni kwa vile kadhibiti madini yasiibiwe hoja ya kipumbavu kweli nawapa somo tu wafuasi mnaoamini izi propaganda kutoka Ikulu ya Magufuli, hakuna nchi iliyodhibiti rasilimali zake kama Botswana lakini huwezi sikia wanapambana na upinzani.
Na huwezi sikia Marekani ikiwanyoshea kidole halafu eti unasema umedhibiti madini yapi yale ya twiga 84/16 upo serious kweli? unachekesha kweli ! jibu hoja za Marekani.
Umeyakoroga mwenyewe yanywe mwenyewe hakuna atakayekubeba uvune ulichopanda nakuhakikishia uchomoki uchaguzi mwaka huu.
Unfortunately umeandika kwa hasira na hivyo ukawa umeshindwa kutenganisha hisia na facts. Kuhusu watu kutekwa na kuteswa, ungejua yaliyomkuta Dr Ulimboka ni zamani sana tunaweza kuwa tumesahau. Kuhusu watu kupigwa risasi ungejua watu waliopigwa risasi Mwembechai ni zamani sana, tunaweza kuwa hatujui tena.Marekani haijamtuma mtu kuua watu kufunga watu na kuteka watu hapana, Marekani haijatuma mtu kuwashambulia watu kwa risasi hapana, Marekani haijamtuma kuzima vyombo vya habari na kuzuia siasa kwa wapinzani kwa miaka 5 hapana,
Kama serikali haijawatuma hao watu kwanini hafanyi upelelezi kuleta mlejesho? kwanini hawakamatwi watekaji? wauaji na wanaopiga risasi?
Eti hoja ni kwa vile kadhibiti madini yasiibiwe hoja ya kipumbavu kweli nawapa somo tu wafuasi mnaoamini izi propaganda kutoka Ikulu ya Magufuli, hakuna nchi iliyodhibiti rasilimali zake kama Botswana lakini huwezi sikia wanapambana na upinzani.
Na huwezi sikia Marekani ikiwanyoshea kidole halafu eti unasema umedhibiti madini yapi yale ya twiga 84/16 upo serious kweli? unachekesha kweli ! jibu hoja za Marekani.
Umeyakoroga mwenyewe yanywe mwenyewe hakuna atakayekubeba uvune ulichopanda nakuhakikishia uchomoki uchaguzi mwaka huu.
Sasa Sisi hiyo mikataba si tuliiridhia Kwa hivyo hi wajibu wa watawala wetu kina magufuli kuitekeleza kama ilivyo siyo anavyoona yeye inafaa.Marekani alikataa mkataba wa mahaka ya makosa ya haki za binadamu na inajisifu kumuua Sulemani.
Imekataa mkataba unaozuia uharibifu wa mazingira lakini inaona wivu kwa Tanzania kujenga chanzo cha umeme na barabara ya lami Karatu-Musoma.
Sishabikii Magu lkn Marekani si nchi ya kurejea.
Usitetee uovu sababu Leo Uko Salama,Unfortunately umeandika kwa hasira na hivyo ukawa umeshindwa kutenganisha hisia na facts. Kuhusu watu kutekwa na kuteswa, ungejua yaliyomkuta Dr Ulimboka ni zamani sana tunaweza kuwa tumesahahu. Kuhusu watu kupigwa risasi ungejua watu waliopigwa risasi Mwembechai ni zamani sana, tunaweza kuwa hatujui tena. Ungejua kuhusu vyombo vya habari Tanzania kuwa Mwanahalisi liliwahi kufingiwa, ni zamani sana hatukumbuki tena. Umeandika kama vile matukio hayo ni ya leo tu. Wakati yanatokea enzi hizo Marekani hiyo haikusema lolote, ila yanapotokea leo inakuwa ni kama smokescreen tu kes Marekani kuishambulia serikali ya sasa. Siyo kwamba matukio hayo ni mazuri, ila yemekuwa kwenye system yetu muda wote huo na na yalivumiliwa na Marekani, hivyo wao leo hawawezi kuja kutuambia la kufanya. Ni sisi wenyewe kujiangalia na kujiweka utawaraibu wa kisheria kuachana na mambo hayo.
Unfortunately hujachangia kwenye mada.Usitetee uovu sababu Leo Uko Salama,