Rais Magufuli ajibu hoja za Marekani, Asijifiche kwenye hoja za uzalendo, Kwanza sio Mzalendo

Rais Magufuli ajibu hoja za Marekani, Asijifiche kwenye hoja za uzalendo, Kwanza sio Mzalendo

Magu anajificha nyuma ya viongozi wa dini wakati anasigina haki za binadamu!

Endelea kumshabikia maana huwezi kwenda choo bila yeye!
Kwa hiyo wewe Mungu wenu Marekani ndo anakupeleka choo?
UTUMWA huo kamanda!
Zinduka.
 
Asante sana muleta hii maneno, ila umesahau kitu moja muhimu sana, marekani haikumutuma magufuli kuamurisha jeshi kununua korosho na ila hali kazi ya jeshi ni vita na kulinda mipaka.Wakulima hata leo bado wanadai mabilioni ya pesa walizozulumiwa na utawala wa magufuli, Ati anadai madini, madini gani, botswana ni taifa tajiri sana kutokana na madini, na kaa umesema haizulumu upizani, haiteki watu na kuua, hapigi watu risasi , na mambo mengine, huyu magufuli naona ako na tatizo la akili kweli
 
[emoji51][emoji51][emoji51]
Screenshot_20200303-141241-picsay.jpeg
 
Tayari tumo kwenye rada za US tutake tusitake, hapa wanasubiri mtihani wetu wa mwisho tuuchezee ili wafanye yao.

Tume huru si option tena 2020.

Kuna mijitu mipuuzi hapa Tanzania hasa hii mitu ya CCM inafikri hii nji ni kisiwa au iko dunia ingine...!
Kama Magufuli na CCM hawamjui Marekani waulize Iraq, Iran,Libya na DRC Congo...!
Wapi Saadam Hussein, wapi Qhaddafy, wapi Jeneral Casseimu na wapi Patrice Lumumba..??!!
Marekani ikitaka kumung'oa Mtu yeyote awe sijui Rais au Mkuu wa Majeshi maarufu duniani atang'oka tu....! Seuze mtu mfupi toka Chato??
 
Itazame hata nguo ya ndani uliyovaa,achiliambali simu unayotumia,babu zako walikuwa wanavaa nini?kama siyo Wadhungu ungekuwa wapi?
Mnakidhalilisha chama ninyi?
Hivi CHADEMA tumekuwa na mamburula kiasi hiki?
 
Mnatia kichefuchefu kumuona marekani kama ndo standard unit wa kulinda haki za binadamu wakati dunia nzima inajua the opposite is true.
Kauwa wangapi inocent kuliko hata Lisu?
Leo akikohoa tu mnakimbilia JF kuanzisha thread kama vile Mungu kakohoa?
Mengine mnajidharilisha tu makamanda.


..jiulize tumekosea wapi mpaka watu kulazimika kupeleka matatizo yetu kwa Wamarekani.

..ni kwasababu baadhi yetu, ndugu zetu wenyewe, hawathamini UTU na UHAI wa waTz wenzao.
 
Hivi siku zile alipokuwa akipokea taarifa ya madini/almasi alipotamka yale maneno hadharani tena mbele ya vyombo vya habari alitegemea nini?? Eti tuko kwenye vita vya uchumi na anapotokea mtu mmoja akatusaliti basi askari wanaofahamu wajibu wao dhidi ya msaliti dawa yake huwa ni nini?? Nini kilimpata Mh Lissu baadae?? Sote tunajua. Sasa hapo atajitetea kwa lipi Mkuu??

Sas hivi kaongeza kaongeza maadui ndani ya chama chake mwenyewe. Hivyo asitegemee hoja za Wapinzani pekee bali mashambulizi makali na mabaya zaidi dhidi ya Serikali yake yatatoka ndani ya chama chake mwenyewe.

Yeye aendelee kupambana na kina Mh Halima Mdee na Ester Matiko na siyo Wamarekani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aiseeeee!?
Marekani haijamtuma mtu kuua watu kufunga watu na kuteka watu hapana, Marekani haijatuma mtu kuwashambulia watu kwa risasi hapana, Marekani haijamtuma kuzima vyombo vya habari na kuzuia siasa kwa wapinzani kwa miaka 5 hapana,

Kama serikali haijawatuma hao watu kwanini hafanyi upelelezi kuleta mlejesho? kwanini hawakamatwi watekaji? wauaji na wanaopiga risasi?

Eti hoja ni kwa vile kadhibiti madini yasiibiwe hoja ya kipumbavu kweli nawapa somo tu wafuasi mnaoamini izi propaganda kutoka Ikulu ya Magufuli, hakuna nchi iliyodhibiti rasilimali zake kama Botswana lakini huwezi sikia wanapambana na upinzani.

Na huwezi sikia Marekani ikiwanyoshea kidole halafu eti unasema umedhibiti madini yapi yale ya twiga 84/16 upo serious kweli? unachekesha kweli ! jibu hoja za Marekani.

Umeyakoroga mwenyewe yanywe mwenyewe hakuna atakayekubeba uvune ulichopanda nakuhakikishia uchomoki uchaguzi mwaka huu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Marekani ndo nani?

Yeye anaweza akajibu hoja zetu?

Yaani Marekani ndo kawa Mungu wenu?
Yeye ana utakatifu gani?

Hivi ukiongea masuala ya ukiukaji Haki za Binadamu, huyo Marekani anaweza hata kusogeza pua yake?

Anaweza hata kujilinganisha na Tanzania?
Akili za kitumwa hizo kamanda!

Mnajipendekeza hadi mnatia kichefuchefu.
Endelea kuamini hivyo. Baada ya muda fulani mtakimbilia kusema tuwe Wazalendo kwenye Nchi yetu. Kama ninyi mnawachukulia poa kwanini Mh Kabudi kaenda kuwapigia magoti?? Nani anaetia kinyaa hapo??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Marekani ndo nani?

Yeye anaweza akajibu hoja zetu?

Yaani Marekani ndo kawa Mungu wenu?
Yeye ana utakatifu gani?

Hivi ukiongea masuala ya ukiukaji Haki za Binadamu, huyo Marekani anaweza hata kusogeza pua yake?

Anaweza hata kujilinganisha na Tanzania?
Akili za kitumwa hizo kamanda!

Mnajipendekeza hadi mnatia kichefuchefu.

Marekani ndio Mungu wetu, kama nyie vyombo vya dola vilivyo Mungu wenu. Tunataka Marekani ashikilie hapo hapo mpaka madhalimu hapa nchini wanyooshe maelezo. Na iwapo Marekani ataamua kuja hapa nchini tutampa msaada wowote autakao. Hatuko radhi kurejeshwa kwenye mfumo wa chama kimoja na dhalimu yoyote.
 
Wewe marekani ni nani kwako... Wewe anaweza jibu hoja zako... Katiba yetu inamtambua mtu anaitwa mmarekani hadi rais wetu ajibu hoja... Au unafikiri marekani ana urafiki na wewe.? Ungejua ya nyuma ya pazia ya marekani wala usingeongea.

Bora kutawaliwa na Marekani kuliko kunyanyaswa na nyani mwenzako.
 
..jiulize tumekosea wapi mpaka watu kulazimika kupeleka matatizo yetu kwa Wamarekani.

..ni kwasababu baadhi yetu, ndugu zetu wenyewe, hawathamini UTU na UHAI wa waTz wenzao.

Tulipokosea Watz ni kuichagua CCM YA MAGUFULI dikteta mzoefu toka Chato....!!!
 
We la Marekani hulioni unaona la Tanzania tu?
Hivi kwenye haki za binadamu unaweza kumquote Marekani kweli?
Mmekuwa brainwashed utafikiri hamjasoma?
Mnatia kichefuchefu!

Yaani we ndio kichefuchefu full. Mtunyanyase kisa ulimbukeni wa madaraka kisha mtuambie Marekani hana rekodi ya haki za binadamu? Hata kama hana sifa nzuri za haki za binadamu, ili mradi anaingilia sisi kurudishwa kwenye mfumo bwana chama kimoja kimabavu, tunamuunga mkono.
 
Back
Top Bottom