Kwani Marekani kashikilia nini?Marekani ndio Mungu wetu, kama nyie vyombo vya dola vilivyo Mungu wenu. Tunataka Marekani ashikilie hapo hapo mpaka madhalimu hapa nchini wanyooshe maelezo. Na iwapo Marekani ataamua kuja hapa nchini tutampa msaada wowote autakao. Hatuko radhi kurejeshwa kwenye mfumo wa chama kimoja na dhalimu yoyote.
Kwa taarifa yako Marekani hawezi kushikilia chochote kisicho na maslahi kwake.
Anawasanifu tu na kuwashangaa mnavompelekea umbea mkidhani yeye anamind umbea wenu.
Marekani anamind interest zake tu.
Mkimpelekea umbea usiomlipa anawang'ong'a tu.
Subiri UTAONA.