Rais Magufuli akamilisha uteuzi wa Baraza la Mawaziri, Makame Mbarawa abadilishiwa Wizara

Kuna mdau alikuja na uzi wake hapa..... Duuh safi sana kwa Magufuli..... Dr. Ndalichako anafaa sana pale
 
Jamani nimefurahi sana sana huyu mama yetu ni jembe lililokuwa tumelinowa nakuliweka stoor

Kuna mtu alileta uzi huku akishauri achaguliwa kuongoza hii wizara,ombi lake limejibiwa
 
Yaani nina furaha leo!!Li-Hawa Ghasia out!!!ameshinda kwa dhulma na wizi nje nje kule jimboni kwake watu hawamtakiiiiii,alijua atapewa uwaziri kumbe holaaaaa

Safi sana Anko Magu
 
Nadhani uteuzi wa huyu mama utenguliwe tu,hafai,bora wangempa unaibu wa wizara ya walemavu
 
Ni lini waislamu wamewahi kufaulu mitihani? Ninyi si mnakremu kiarabu feki cha kruani ? Endeleeni wenzenu wanatusua. Mtabakia kulalama na udini kusoma hamsomi.. Angalia orodha iliyotua kwa JPM ya wauza unga. Kisha nipe jibu kwann waislamu?
Wauza unga maarufu duniani ni wakatoliki wakiongozwa na guzman " el chapo" katoroka gerezani mpaka sasa anatafutwa. Btw umeishia darasa la ngapi vidato vyangu ukoo wenu wote mje hamnipati.
 
Huu uteuzi wa viporo pote kabugi step,,mizigo wote
 
Joyce ni super kabisa ;hardworking woman na ana vision hakuna cha standardise;nyeupe ni nyeupe na nyeusi ni nyeusi
 
Wakuu kama tulivyoona mkuu kamteuwa Dr Ndalichako ambaye alikuwa katibu mkuu wa Necta baada ya kujiuzulu.

Ingawa haikuwekwa wazi, ila ni kweli Ndalichako alijiuzulu baada ya kukaidi kushusha grade za matokeo mwaka 2012 pale ilipo onekana wamefeli sana.

Hizi grade za mauwa za kumfurahisha Kikwete na kawambwa zimetuvunjia heshima mtaani.

Mtu Una B ya physics iliyokuwa inaanzia 64-75 lkn leo vitoto vya digitali akipata 50 nayo ni B afu analeta zarau.

Tunaomba Dr Ndalichako ufanye kile kinnachopaswa kufanywaa.
Rejesha heshima iliyopotea katika elimu.
 
Ndalichako aache kuleta uroma na udini uliopindukia wizarani,vinginevyo anataaluma nzuri.

Jicho la Waislaam linamfuatilia hasa kipindi hiki ambacho Ponda Issa Ponda yupo huru.

Una udhibitisho gani kuwa alikuwa anawafelisha waislam
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…