OgwaluMapesa
JF-Expert Member
- May 24, 2008
- 10,942
- 434
Kuna mdau alikuja na uzi wake hapa..... Duuh safi sana kwa Magufuli..... Dr. Ndalichako anafaa sana pale
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamani nimefurahi sana sana huyu mama yetu ni jembe lililokuwa tumelinowa nakuliweka stoor
Mbona mwandiko si wa Magufuli? Acha uongo na ramli zako.
Siachi
Yule mama aliyekuwa anatufelisha pale necta kapewa wizara.
Utaolewa na hizo chuki zako
Wauza unga maarufu duniani ni wakatoliki wakiongozwa na guzman " el chapo" katoroka gerezani mpaka sasa anatafutwa. Btw umeishia darasa la ngapi vidato vyangu ukoo wenu wote mje hamnipati.Ni lini waislamu wamewahi kufaulu mitihani? Ninyi si mnakremu kiarabu feki cha kruani ? Endeleeni wenzenu wanatusua. Mtabakia kulalama na udini kusoma hamsomi.. Angalia orodha iliyotua kwa JPM ya wauza unga. Kisha nipe jibu kwann waislamu?
sasa ni dhaili kuwa elimu ya tz itaimalika tena
amakweli rais wetu ni genius na anaipenda tz Mungu amlinde
Akikupatia unishtue shemeji
Ndalichako aache kuleta uroma na udini uliopindukia wizarani,vinginevyo anataaluma nzuri.
Jicho la Waislaam linamfuatilia hasa kipindi hiki ambacho Ponda Issa Ponda yupo huru.