Rais Magufuli akamilisha uteuzi wa Baraza la Mawaziri, Makame Mbarawa abadilishiwa Wizara

Rais Magufuli akamilisha uteuzi wa Baraza la Mawaziri, Makame Mbarawa abadilishiwa Wizara

Mimi nimeangalia ITV toka habari inaanza mpaka sasa mbona sijaona hii kitu?
Kuna ITV tofauti na hii ya Mengi hapa Tanzania?

Utakuwa umechelewa, ni habari ya kwanza kabisa na imesomwa studio tu!! Haikuchukua hata sekunde 30 ikaisha.
 
nimezikubali teuzi mbili kwa asilimia zote
mambo ya nje ya Mahiga
elimu ya Ndalichako
pepa hazina dini so mama kaza uzi lazima heshims ya pepa za la nne na form two irudi
 
Kweli nimepiga makofi kwa mara kwanza kwa yote alifanya muda wote kwa uteuz wa ndalichako n Kweli nitaipenda sasa tasniA hii
 
Halafu mbona Magufuli alisema nafasi zilizobaki ni nne tu, ila hii taarifa hapa inaonyesha ni watano mpaka Sita?
Mkuu wengine wamehamishwa kutoka wizara walizokuwa kama Mbalawa. Haupo jirani na vyombo vya habari? TBC na itv wametangaza kama ilivyoletwa hapa
 
Dah!
Huyu jamaa fani yake ni nini hasa?nishawishike kuwa maji haikuwa fani yake ndo maana hakuweza!
 
Kiufupi kati ya wizara alizokosea magufuli ni maghembe hii ni.kutokana na upande wa kaskazini kukosa wabunge wa ccm na kulikua amna namna
 
Rais Magufuli kamkabidhi ujenzi Prof Makame Mbalawa. Daah huyu sijui km atavivaa vzr viatu hivi.
 
Ndalichako aache kuleta uroma na udini uliopindukia wizarani,vinginevyo anataaluma nzuri.

Jicho la Waislaam linamfuatilia hasa kipindi hiki ambacho Ponda Issa Ponda yupo huru.

Wewe ni mdini kafie mbele huko. Leta ushahidi wa unachokiandika. Waislam wana nn cha ajabu. Huna point kalale mdini wewe
 
Ndalichako aache kuleta uroma na udini uliopindukia wizarani,vinginevyo anataaluma nzuri.

Jicho la Waislaam linamfuatilia hasa kipindi hiki ambacho Ponda Issa Ponda yupo huru.

uroma tena?? tatizo nyie ndugu macho na masikio yenu ni kwenye udini udini tu, hamuwazi maendeleo.
 
Mimi nimeangalia ITV toka habari inaanza mpaka sasa mbona sijaona hii kitu?
Kuna ITV tofauti na hii ya Mengi hapa Tanzania?

Umechelewa habari.........ndio ilikuwa habari ya kwanza kabla ya habari kuu ya Leo........ambayo ilikuwa ajali ya kigoma. Umeichelewa kwa dakika moja hiyo habari
 
Back
Top Bottom