Lancashire
JF-Expert Member
- Sep 20, 2014
- 14,057
- 10,367
Mkuu mtakwishaje....???
Ndalichako ni mdini sana asipodhibitiwa tumekwisha wallah nakwambia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu mtakwishaje....???
Mimi nimeangalia ITV toka habari inaanza mpaka sasa mbona sijaona hii kitu?
Kuna ITV tofauti na hii ya Mengi hapa Tanzania?
huyu mama anachukia waislam balaaa
huyu mama anachukia waislam balaaa
Mkuu wengine wamehamishwa kutoka wizara walizokuwa kama Mbalawa. Haupo jirani na vyombo vya habari? TBC na itv wametangaza kama ilivyoletwa hapaHalafu mbona Magufuli alisema nafasi zilizobaki ni nne tu, ila hii taarifa hapa inaonyesha ni watano mpaka Sita?
Maghembe na Makame hamna Kitu,Prof Ndalichako yupo vizuri.
Ndalichako aache kuleta uroma na udini uliopindukia wizarani,vinginevyo anataaluma nzuri.
Jicho la Waislaam linamfuatilia hasa kipindi hiki ambacho Ponda Issa Ponda yupo huru.
Ndalichako aache kuleta uroma na udini uliopindukia wizarani,vinginevyo anataaluma nzuri.
Jicho la Waislaam linamfuatilia hasa kipindi hiki ambacho Ponda Issa Ponda yupo huru.
Kwa nini??
Before alikua wapi huyo Maghembe
Mimi nimeangalia ITV toka habari inaanza mpaka sasa mbona sijaona hii kitu?
Kuna ITV tofauti na hii ya Mengi hapa Tanzania?