Rais Magufuli akamilisha uteuzi wa Baraza la Mawaziri, Makame Mbarawa abadilishiwa Wizara

Rais Magufuli akamilisha uteuzi wa Baraza la Mawaziri, Makame Mbarawa abadilishiwa Wizara

Hongera Sana mama rudisha hadhi ya elimu ya Tz..rekebisha viwango vya kufaulu ondoa hizi mambo za grade 5 na curriculum iwepo ya kueleweka tafadhali. Kila la Kheri mama .
 
WanaJF,

Habari ndio hiyo kama ambavyo inasomeka kwenye kichwa cha habari.
 
Magambe tena hii hatari jamani muda wote amekaa anaibuka na magembe duh! haya bwana
 
BLESSINGS FROM THE ALMIGHY GOD BE UPON SHEIKH ILUNGA H. ILUNGA.SYSTEM AT WORKs
 
Unajidanganya hadi wewe mwenyewe. Prof Makame Mbalawa alishachaguliwa kuwa waziri wa maji na umwagiliaji halfu wewe unasema amemteua kuwa waziri wa uchukuzi. Mmmmhh!! Jiangalie wewe

kabadilishiwa wizara kutoka maji to Uchukuzi
 
Walimu Sasa Shangwe,elimu Itapanda Hakutakuwa Na Kubebana Tena
 
FaizaFoxy na Ritz waione hii.... Maulid imeingia nzi!!!! Dr. Ndalichako alisaini vyeti vyangu vya form four na six!
Namfagilia sana mama huyu! Haya majitu yaliua elimu kabisa!!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom