Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chuki zako tu!!! Unaweza kuthibitisha hill pasina shaka?!
Ndalichako aache kuleta uroma na udini uliopindukia wizarani,vinginevyo anataaluma nzuri.
Jicho la Waislaam linamfuatilia hasa kipindi hiki ambacho Ponda Issa Ponda yupo huru.
Sasa kulikuwa na haraka gani kama huna habari kamili
Unajidanganya hadi wewe mwenyewe. Prof Makame Mbalawa alishachaguliwa kuwa waziri wa maji na umwagiliaji halfu wewe unasema amemteua kuwa waziri wa uchukuzi. Mmmmhh!! Jiangalie wewe
Waislam tumekwisha.
Anafaa mama yako mzazi asiyejua hata kuandika jina lake!huyo ndalichako hafai kupewa wizara hiyo
Hakyanani kwa Magembe ndio kachemsha, huyo ni jipu