Danken Mbombo
JF-Expert Member
- May 30, 2015
- 651
- 339
Prof Jumanne Maghembe.......... wrong choice..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii ndo inaitwa,shukrani ya punda ni mateke,,ha ha ha,subiri oktoba 2020
Utakufa kwa presha..Nchi hii siyo ya vilaza..Lazima vilaza tuwang'oeHuyu mama analalamikiwa kwa miaka 20,halafu anarudishwa palepale,ina maana hakuna wasomi wengine wa kukamata iyo nafasi?
Hii ndo inaitwa,shukrani ya punda ni mateke,,ha ha ha,subiri oktoba 2020
Ndalichako ni mdini sana asipodhibitiwa tumekwisha wallah nakwambia
Tena wizara nyeti mama Mali asili! Si bora angempa ubunge kagasheki amrudishe hapo kuliko huyu failure!
mods acheni tunataka rais akipita apate maoni yetu.
Mimi kama RAIA na kwa mujib wa katiba ya muungano naruhusiwa kutoa maoni yangu, pia Nina haki kuuungwa mkono kwa hoja yangu.
Mimi sikubaliani na uteuzi wa Joyce ndalichako kutokana namna alivofanya katika baraza la mitihani kwa kufelisha baadhi ya wanafunzi waliosoma Islamic knowledge iliopelekea kuundwa tume bayo hadi Leo hatukapata majibu take
" Mimi magufuli nitatenda haki, sitabagua MTU kutokana na chama chake,kabila lake,dini yke,ukanda wake"
sasa mimi kama mwananchi nakuletea malalamiko kwako mh rais juu ya uteuzi wa Joyce Ndalichako
Natabili anguko kuu la Serikali ya awamu ya tano inayo undwa na Viongozi ambao ni ma Dr na Ma Prof wengi ambao watashindwa kutumia elimu yao kuwaletea maendeleo watanzania. Shika kauli yangu hii.
Tena wizara nyeti mama Mali asili! Si bora angempa ubunge kagasheki amrudishe hapo kuliko huyu failure!
Hii Kali..unataka kusema hamna wakristu waliofeli!!!
Wewe ni nabii, mchawi, mnajimu, mganga ama?!Natabili anguko kuu la Serikali ya awamu ya tano inayo undwa na Viongozi ambao ni ma Dr na Ma Prof wengi ambao watashindwa kutumia elimu yao kuwaletea maendeleo watanzania. Shika kauli yangu hii.