Rais Magufuli akamilisha uteuzi wa Baraza la Mawaziri, Makame Mbarawa abadilishiwa Wizara

Rais Magufuli akamilisha uteuzi wa Baraza la Mawaziri, Makame Mbarawa abadilishiwa Wizara

ndalichako Yuki vizuri sema kuna baadhi walishakuwa na shaka naye,mteuzi labda akaviweka sawa,atajua yeye ila kwa waziri mzigo Nina madhaka mtumbua jipu anaanza kuotesha majipu.
 
Natabili anguko kuu la Serikali ya awamu ya tano inayo undwa na Viongozi ambao ni ma Dr na Ma Prof wengi ambao watashindwa kutumia elimu yao kuwaletea maendeleo watanzania. Shika kauli yangu hii.
 
Hii ndo inaitwa,shukrani ya punda ni mateke,,ha ha ha,subiri oktoba 2020

Miaka yote huwa mnaishia kusema hivyo! Mmejaa udini, mmekalia udini ... Ni lini mtabadilika?

"Hatumchagui kiongozi kwa sababu ya dini yake au kabila lake ila kwa sababu ya sifa alizonazo." - Mwalimu J.K.Nyerere
 
Tena wizara nyeti mama Mali asili! Si bora angempa ubunge kagasheki amrudishe hapo kuliko huyu failure!

Masikini vijana wa kagasheki mmeshindwa kumpigia debe makapi wenu .na wizara ndio zmeisha sasa.
 
Masauni? Lwenge? Maghembe? Ccm ni ile ile. Hovyo kabisa!
 
BARAZA la Waislamu Tanzania (Bakwata)
limemtaka Katibu Mtendaji wa Baraza la
Mitihani (Necta), Dk Joyce Ndalichako
kujiuzulu wadhifa huo akimtuhumu
kuwafelisha mitihani ya dini ya Kiislamu
wanafunzi wa kidato cha sita wa dini hiyo.
Kauli hiyo ya Bakwata imetolewa na Mufti
wa Tanzania, Sheikh Issa Bin Shaaban
Simba katika mkutano wake na waandishi
wa habari jijini Tanga jana kuelezea
msimamo wa Waislamu nchini kuhusu
matokeo ya kidato cha sita, hujuma
inayoandaliwa kufanyika katika zoezi la
sensa pamoja na vurugu zilizotokea
Zanzibar.
Kuhusu hujuma ya mtihani, Mufti Simba
alisema kuwa matokeo ya mtihani ya dini
hiyo ya Kidato cha Sita yaliyotangazwa Mei
Mosi 2012, yaliwashtua wanafunzi Waislamu
waliofanya mtihani wa elimu ya dini ya
kiislamu (Islamic Knowledge), ambayo
yalionyesha kuwa asilimia 70 walifeli kwa
kupata daraja F.
Alisema matokeo hayo yalionyesha kuwa ni
asilimia 30 ndiyo waliofaulu kwa kupata
daraja D, ambapo waliopata alama za juu
kabisa nchi nzima ni wanafunzi saba
pekee.?Matokeo haya yaliwashtua wanafunzi
na wazazi, taasisi mbalimbali za kiislamu
zilimua kukata rufaa kuonyesha
kutokubaliana na matokeo hayo, hatimaye
baraza hilo
likabaini kuwa lilikosea na likaidhinisha
kutolewa matokeo
mapya,? alisema Mufti Simba.
Tayari Ndalichako ametoa ufafanuzi kuwa
kosa lililotokea akisema si hujuma bali ni la
kiufundi lililotokana na kubadili utaratibu wa
kufanya mitihani mitatu ya somo hilo kuwa
miwili, lakini mfumo wa ujumlishaji maksi
ulisahaulika kubadilishwa.
Ndalichako alilieleza gazeti dada la
Mwananchi, The Citizen, kuwa awali
matokeo ya mitihani mitatu yalikuwa
yanajumlishwa na kugawanywa kwa tatu
kwa kutumia mfumo wa kompyuta, ili kupata
alama rasmi za mtahiniwa, lakini safari hii
zilipojumlishwa alama za mitihani miwili ya
somo hilo ziliendelea kugawanywa kwa tatu
badala ya mbili kimakosa.
 
mods acheni tunataka rais akipita apate maoni yetu.
Mimi kama RAIA na kwa mujib wa katiba ya muungano naruhusiwa kutoa maoni yangu, pia Nina haki kuuungwa mkono kwa hoja yangu.

Mimi sikubaliani na uteuzi wa Joyce ndalichako kutokana namna alivofanya katika baraza la mitihani kwa kufelisha baadhi ya wanafunzi waliosoma Islamic knowledge iliopelekea kuundwa tume bayo hadi Leo hatukapata majibu take
" Mimi magufuli nitatenda haki, sitabagua MTU kutokana na chama chake,kabila lake,dini yke,ukanda wake"
sasa mimi kama mwananchi nakuletea malalamiko kwako mh rais juu ya uteuzi wa Joyce Ndalichako

Mkuu,
Tujifunze kuangalia vitu kwa manufaa mapana ya Taifa. Serikali haina dini wala Kabila.
 
Sina hakika kama watu mnahakika na mnachokisema. Necta inaongozwa na taratibu...Nashauri mtoa mada kasome kwanza taratibu zake na kuzielewa hasa za grading a utaaji wa matokeo. ...Mama wa watu kwake shoka ni shoka hana kamusi kurefusha na kuita kipasulia kuni.
 
Natabili anguko kuu la Serikali ya awamu ya tano inayo undwa na Viongozi ambao ni ma Dr na Ma Prof wengi ambao watashindwa kutumia elimu yao kuwaletea maendeleo watanzania. Shika kauli yangu hii.

Anguka imeisha imeingia zigzag.ccm mbele kwa mbeleeeeee
 
Waliodhani wanamuumbua wataumbuka wao sasa, kamwe huwezi kuendesha baiskeli pedal zote zikiwa juu au zote zikiwa chini,
 
Tena wizara nyeti mama Mali asili! Si bora angempa ubunge kagasheki amrudishe hapo kuliko huyu failure!

Mi nadhani rais kasikiliza zile kelele za wanaosema Kaskazini imetengwa, hasa mkoa wa Kilimanjaro, hivyo akaamua kumuweka huyu jamaa ili kubalance
 
Natabili anguko kuu la Serikali ya awamu ya tano inayo undwa na Viongozi ambao ni ma Dr na Ma Prof wengi ambao watashindwa kutumia elimu yao kuwaletea maendeleo watanzania. Shika kauli yangu hii.
Wewe ni nabii, mchawi, mnajimu, mganga ama?!
 
Back
Top Bottom