digba sowey
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 8,926
- 17,880
- Thread starter
-
- #261
Huyu Magufuli naona anajipa kazi bila kutaka kwa kumuogopa Membe. Naona ameamua ni heri ajiweke karibu kwa viongozi wa vyama ambavyo ni "likely" Membe kujiunga navyo kwa ajili ya kutimiza "ndoto zake". Bila shaka anajaribu kuwalaghai wasimpe nafasi ili akose pa kutimizia ndoto zake.
Kwani stahiki zake hapewi ?Siasa hubadilika, kama ambavyo umri humbadilika mtu na kuwa na msimamo tofauti na ya umri flani.
Maalimu Seif si tofauti na wengine. Atabadilika tu. Nani aliamini ataikacha CUF?
Leo anajiaandaa kurudi CCM na kupewa stahili zake zote alipaswa kupewa akiwa kiongozi SMZ ili kuua nguvu za Zitto na upinzani kwa ujumla.
Wewe uwe na heshima kwa wakubwa wako na Jasusi Mbombezi.Hivi jpm amuogope membe kwa lipi kwa mfano? Ccm ilikimbiwa na lowasa aliyekuwa na mvuto kwa watu lakini haikuyumba ije kuwa huyu firauni ambaye hata mtoto alinayesoma kidato cha nne hamjui?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kinachoendelea hapo wewe bado ni mchanga sana, hujafunguka macho uone bado upo gizani. Polepole sijui kama utaelewa. Labda kwa hamsa ishirini.Zitto karibu huku ushuhudie wanasiasa nguli wanaojua siasa. Wenzako matatizo ya nchi wanakaa chini na kuzungumza, wewe unaenda ugenini kuzungumza halafu unajiona mwamba wa siasa. Rudi darasani ukajifunze uzalendo.
Kuuliza si ujinga. Hivi serikali pamoja na mkuu wa nchi wapo Dodoma au Dar es Salaam? Mbona kama shughuli zote za ofisi ya rais huratibiwa Dar es Salaam?
Hilo litoshe tu kuwaonyesha mataga kuwa ndani ya ccm hakuna watu sahihi hadi imewalazimu wasajiri kwa bei mbaya wachezaji kutoka upinzaniJana bashiru aliwaambia wanaccm wawe na akiba ya maneno na pia wanasajili vifaru toka upinzani. mwenye uelewa alielewa
Mambo ya kususia uchaguzi hayo. Wanataka CHADEMA isusie peke yake. Wengine wamezwe na CCM kuhalalisha ushindi wa asilimia 90.
View attachment 1375403
Kwa kweli leo umependeza saana. Umependeza kweli kweli mheshimiwa. Mungu akubariki sana.
Ukiona chadema wameitwa ujur kuna dhakira njema nje ya hapo hakuna lolote
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo hakuna UNGULI wa siasa bali ni usanii tu. Magufuli anafanya maigizo ya kile ambacho amekikwepa miaka yote ya utawala wake awamu hii: KUKUTANA NA WANASIASA WA UPINZANI. Haya ni maigizo kwa sababu nyingi, lakini kubwa zaidi, wakati hakuna chochote watakachoambulia hao "wenye bahati ya kuitwa Ikulu",Magufuli anavuna sifa za uwongo kwamba anakutana na wanasiasa wa upinzaniZitto karibu huku ushuhudie wanasiasa nguli wanaojua siasa. Wenzako matatizo ya nchi wanakaa chini na kuzungumza, wewe unaenda ugenini kuzungumza halafu unajiona mwamba wa siasa. Rudi darasani ukajifunze uzalendo.
siyo huratibiwa bali hufanyika DSM kama ilivyokuwa enzi hizooKuuliza si ujinga. Hivi serikali pamoja na mkuu wa nchi wapo Dodoma au Dar es Salaam? Mbona kama shughuli zote za ofisi ya rais huratibiwa Dar es Salaam?
Ninyi donor country ndio muingie msituni kuwawinda mabeberu kwanza. Kila kukicha mnabanwa makende kubadilisha masheria yenu kwa hati za dharura.
itakuwa imekuingia sindano, ndo maana umekosa hoja ya kujibu, pole sana humu hawajibu kwa matusi, kama panakuwia ngumu sign out, hii ndo jf, utakumbana na majibu ya kila aina, usifikir utajibiwa kama unavyofikir wewe! leo mliitiwa korosho na maji ikulu, umeisikiaje, mmesha sahau hata kuwa mnadai tume huru, pambana na hali....Mpuuzi wewe huna akili. Kila kitu unatafsiri kama wanyama wenzako wasiojulikana.
Kapendeza HasaRais wangu JPM katokelezea sana na suti hiyo mchanganyo, imani yetu wananchi mazungumzo yalienda sawia kabisa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa vikao hivi ndio Rais wa awamu ya pili hakuna namna tena hapo.Ujenzi unaendelea Chamwino ila awamu ya 2 akishinda amini kwamba atakuwa Chamwino.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukitaka hela za beberu lazima udhalilike. Leo mnawakaribisha wapinzani ikulu wakati hamuamini katika siasa za vyama vingi , yote hii ni makende kubanwa. Si mngekimbilia china kwenye mapesa mengi mpaka ya kukopesha Marekani au mmesahau? Hivyo vichai tukinywa bado fedha ya beberu inahusika hapo.mbna mlienda kuchongea kwa hao mabeberu wenu halafu mkarudi kimya kimya, vpi mlifaidika na nini? na bado mtanyoka tu, si mmeanza kuitiwa chai ikulu, akili zimesha waishia sasa, mmesha sahau mlichokuwa mnakidai...mmeanza kunywa vichai vya ikulu na maji na korosho, shame on you!
Sent using Jamii Forums mobile app