digba sowey
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 8,926
- 17,880
- Thread starter
- #261
Hivi jpm amuogope membe kwa lipi kwa mfano? Ccm ilikimbiwa na lowasa aliyekuwa na mvuto kwa watu lakini haikuyumba ije kuwa huyu firauni ambaye hata mtoto alinayesoma kidato cha nne hamjui?
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu Magufuli naona anajipa kazi bila kutaka kwa kumuogopa Membe. Naona ameamua ni heri ajiweke karibu kwa viongozi wa vyama ambavyo ni "likely" Membe kujiunga navyo kwa ajili ya kutimiza "ndoto zake". Bila shaka anajaribu kuwalaghai wasimpe nafasi ili akose pa kutimizia ndoto zake.
Sent using Jamii Forums mobile app