Rais Magufuli akutana na Viongozi wa vyama vya Siasa nchini, Maalim Seif(ACT-Wazalendo), Prof. Lipumba (CUF) na James Mbatia (NCCR-Mageuzi)

Rais Magufuli akutana na Viongozi wa vyama vya Siasa nchini, Maalim Seif(ACT-Wazalendo), Prof. Lipumba (CUF) na James Mbatia (NCCR-Mageuzi)

Membe hana pa kukimbilia!naona wametahadharishwa wasipokee makapi!!!Ili Membe aende CHADEMA pekee!!!na CHADEMA ITAKUFA MWAKA HUU!!!kazi kweli kweli!!labda itokee ya kongo tz!raisi atoke chama kidogo kabisa!!!
Haahaa itakufa wakati mapolis hawalali kama kilichotokea kwa mbowe hai had I kutaka kupangiwa maneno Na mapolis cha kuzungumza...
 
Tanzania ni nchi ya hovyo sana,,,badala ya kuongelea mambo ya msingi ya kuinua vipato vya watu kiuchumi na kutatua mporomoko wa sekta ya elimu nchini sisi tumejikita kuongelea siasa za wanasiasa zisizo na impacts kwenye maisha ya watanzania na jamii kwa ujumla. Tutaburuzwa sana na wanasiasa wakati wao wanashiba na familia zao huku sisi tukiwa hoi bini tabani kimaisha.
 
Kuna sehemu mbili za hili tukio
1. Kuwahakikishia ''Wahisani'' a.k.a beberu kwamba maongezi ya uchaguzi huru na haki yanaendelea

2. Kuwavuta Wapinzani ikiwa baadhi ya vyama vitaamua kususia uchaguzi kama wa serikali za mitaa

Halafu kuna hoja, wale wanaosema hili ni kuleta maridhiano wajiulize, aliyeomba maridhiano yuko wapi?

Pascal Mayalla JokaKuu
 
Hivi jpm amuogope membe kwa lipi kwa mfano? Ccm ilikimbiwa na lowasa aliyekuwa na mvuto kwa watu lakini haikuyumba ije kuwa huyu firauni ambaye hata mtoto alinayesoma kidato cha nne hamjui?

Sent using Jamii Forums mobile app
Katika wanasiasa waoga JPM ni #1. Anaogopa wenye hoja zinazompinga. Amani yake ni kuona kila mwanasiasa yupo upande wake na anaposhindwa kuwavutia kwake basi huwafanyia "ngumu" ili kuwakomesha.
 
digba sowey,
Sina hakika sana ya kufanya chochote. Na katiba hiyohiyo def inasema hakuna mtu aliye juu ya sheria. Kuijua katiba si kukariri vipengele kama wewe na kuja kuwananga wenzako hawajui katiba bali ni kunua pia kukokotoa.

Kuna sheria za manunuzi ziliwekwa hapo. Hazikuwekwa kama mapambo. Sema anafanya hivi sababu system yetu ipo corrupt manunuzi yoyote lazima yawe appropriated na bunge. Wewe unadhani Tanzania ni kama nyumba yake na mkewe mama jesca? Rudi shule pia kajifunze somo la uraia haujalijua pia
 
wakikataa kukaribishwa wewe ni wa kwanza kulia lia, tulishawajua hamna jipya mkitaka vurugu si mwende syria, unadanganya watu hapa kuwa una ujasiri, si utoke kwenye keyboard uonge tukuone, wenzako wameenda ikulu tumewaona wewe umebaki kubwabwaja tu kwenye keyboard.
Ukitaka hela za beberu lazima udhalilike. Leo mnawakaribisha wapinzani ikulu wakati hamuamini katika siasa za vyama vingi , yote hii ni makende kubanwa. Si mngekimbilia china kwenye mapesa mengi mpaka ya kukopesha Marekani au mmesahau? Hivyo vichai tukinywa bado fedha ya beberu inahusika hapo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wakikataa kukaribishwa wewe ni wa kwanza kulia lia, tulishawajua hamna jipya mkitaka vurugu si mwende syria, unadanganya watu hapa kuwa una ujasiri, si utoke kwenye keyboard uonge tukuone, wenzako wameenda ikulu tumewaona wewe umebaki kubwabwaja tu kwenye keyboard.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wameenda ikulu kwa ninyi kupenda au kwa kuleta unafiki wa kujifanya mnawaita katika porojo zenu za kuwahadaa mabeberu mnaovizia hela zao!? Nikitoka kwenye keyboard ili iweje? Tunafahamu kwamba nyie wendawazimu mikono yenu tayari imeloa damu ya watu wengi wasio na hatia.

Lazima sie wengine tulioyaona makaburi tuogope kwa sababu mnaweza kufanya lolote kwa sababu ya madaraka. Hatujasahau ile damu ya mwanafunzi mliyomwaga pale Kinondoni na sehemu nyingine kwa sababu ya udhalimu wenu. Eti vurugu, hayo maigizo yenu hapo magogoni yanarudisha vipi uhai wa mliowapoteza?
 
MAONI YA WATU KADHAA HUKO NJE JUU YA MKUTANO WA MH RAIS JPM NA WAPINZANI IKULU YA MAGOGONI JANA 03/03/2020 NA HASA MKUTANO WAKE NA MAALIM SEIF SHARIF HAMAD

Ni ishara nzuri kwa utengamano na ustawi wa siasa za Tanzania na kanda nzima ya Maziwa makuu ( Marry Marle ,wa sudani Kusini)

Kwa hapa nyumbani Ghana hilo lililotokea Ikulu ya Tanzania haliwezekani maana upinzani na serikali ni Paka na Panya .(Nana Brentor : Wa Ghana)

Huo ndio uzuri wa kuwa na serikali inayotokana na watu, Nadhani watanzania wataendelea kumkumbuka Nyerere Kwa miaka mingi. (Dotista Do: Wa Ivory coast)

Kwa kweli inapendeza sana kuona wapinzani wanakaa meza moja na Rais wa Nchi ,kilichonifurahisha zaidi ni mamlaka za Tanzania kuchukua Tahadhari ya Virusi mapema picha ya ukweli kuwa hakuna kisa chochote cha maambukizi nchini humo. (Theophilus: Wa Guinea)

Hilo haliwezi kutokea hapa Liberia ambako wapinzani wanamuita Rais George Weah Shetani wa pangoni. ( Ebenezer Gatel : Liberia)

Umefika wakati vijana wanaochipukia kwenye siasa waige mifano hii na wajiepushe na Siasa za matusi,Ujambazi na Mapanga . ( Nyungwe : Wa Nigeria)

Hii inatuma ujumbe kwa Kizazi Kipya ambao wanaamini Kwenye Mabavu na Vurumai kama mtaji wa Ustawi kisiasa. ( Idrisa Ezra : Algeria)

Ni hatua nzuri ikiwa itaambatana na Matendo . ( Faiza Nasri : Wa Misri)

Wakati nchi zilizoendelea wanajiandaa kwa vifaa na kutenga bajeti kukabiliana na Virusi vya Corona kwa Vitendo wenzetu Afrika wanajiandaa kwa Picha na propaganda Mitandaoni ( Smith ASJr : Beberu kutoka Uingereza

Nampenda sana Rais Magufuli natamani aje atuongoze hapa Zambia . ( Erikrius Rula : Wa Zambia)

Hayo ni baadhi ya Yale yasemwayo huko Duniani juu ya umahiri wa JPM na umoja wa Taifa letu

C&P

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna wahuni huwa hawana jema,watakuja kukuponda tu mkuu.

macson
 
Back
Top Bottom