mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Eti Mbatia ana amini uchaguzi utakuwa huru na hakiPamoja sana kiongozi unajua unacho kiongea
In God we Trust
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Eti Mbatia ana amini uchaguzi utakuwa huru na hakiPamoja sana kiongozi unajua unacho kiongea
In God we Trust
Haahaa itakufa wakati mapolis hawalali kama kilichotokea kwa mbowe hai had I kutaka kupangiwa maneno Na mapolis cha kuzungumza...Membe hana pa kukimbilia!naona wametahadharishwa wasipokee makapi!!!Ili Membe aende CHADEMA pekee!!!na CHADEMA ITAKUFA MWAKA HUU!!!kazi kweli kweli!!labda itokee ya kongo tz!raisi atoke chama kidogo kabisa!!!
Katika wanasiasa waoga JPM ni #1. Anaogopa wenye hoja zinazompinga. Amani yake ni kuona kila mwanasiasa yupo upande wake na anaposhindwa kuwavutia kwake basi huwafanyia "ngumu" ili kuwakomesha.Hivi jpm amuogope membe kwa lipi kwa mfano? Ccm ilikimbiwa na lowasa aliyekuwa na mvuto kwa watu lakini haikuyumba ije kuwa huyu firauni ambaye hata mtoto alinayesoma kidato cha nne hamjui?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukitaka hela za beberu lazima udhalilike. Leo mnawakaribisha wapinzani ikulu wakati hamuamini katika siasa za vyama vingi , yote hii ni makende kubanwa. Si mngekimbilia china kwenye mapesa mengi mpaka ya kukopesha Marekani au mmesahau? Hivyo vichai tukinywa bado fedha ya beberu inahusika hapo.
Mbowe siyo mnafiki kama hao wengine
kwa hiyo ni kwa viongozi tu wasishikane mikono au ni watu wote kuanzia kwenye misiba,makanisani,misikitini vyuoni na mashuleni
Wameenda ikulu kwa ninyi kupenda au kwa kuleta unafiki wa kujifanya mnawaita katika porojo zenu za kuwahadaa mabeberu mnaovizia hela zao!? Nikitoka kwenye keyboard ili iweje? Tunafahamu kwamba nyie wendawazimu mikono yenu tayari imeloa damu ya watu wengi wasio na hatia.wakikataa kukaribishwa wewe ni wa kwanza kulia lia, tulishawajua hamna jipya mkitaka vurugu si mwende syria, unadanganya watu hapa kuwa una ujasiri, si utoke kwenye keyboard uonge tukuone, wenzako wameenda ikulu tumewaona wewe umebaki kubwabwaja tu kwenye keyboard.
Sent using Jamii Forums mobile app