Inaelekea umelewa weweSi alisema ataenda kushitaki ICC kwamba uchaguzi wa Zanzibar umevurugwa?
Leo tena anasalimiana na rais kwa mbwembwe za miguu?
Tuamini lipi sasa sisi wana mabadiliko?
Kweli chadema majanga.
Sent using Jamii Forums mobile app
Jikite kwenye muktadha wa UZI mkuu.Hv huyu bwana mkubwa alitangaza KUHAMIA ikulu ya Dodoma kutoka Dar es salaam AU ikulu ya Dar es salaam kutoka Dodoma..?
Maana me sielewielewi guys.
Umepiga darubini na kuona mbali zaidi.Mungu wabariki Wazungu
Mkuu hujasikia taarufa za ugonjwa hatari wa CORONA? acha kupinga kila jambo!hiviii.. huyu MEKO si ndie alimsema SHEN kwa kitendo cha MAALIM kutompa mkono wa SALAM akasema angekuwa yeye angefuta huduma zote kwa MAALIM!
leo sasa badala ya kuacha kutoa mkono MAALIM kaamua kutoa MGUU kama salam na MEKO bila hiyana kapokea 🤣 ✌😂😂🙄
Mungu wabariki mabeberuHiyo ni kati ya kutekeleza maagizo ya mabeberu kabla ya kutoa chao
In God we Trust
Chezea Dar mkuu,kuna vingi vizuri na upepo murua wa bahari.Hv huyu bwana mkubwa alitangaza KUHAMIA ikulu ya Dodoma kutoka Dar es salaam AU ikulu ya Dar es salaam kutoka Dodoma..?
Maana me sielewielewi guys.
Kwan wametenda kosa kufanya hivyo?Baba alisema, kamwe usije ukamuamini mwana siasa
View attachment 1375403
Kwa kweli leo umependeza saana. Umependeza kweli kweli mheshimiwa. Mungu akubariki sana.
Mkuu Shombe Bwana mkubwa alihamia mwaka jana oktoba au novemba. Hapo alikaa wiki moja tu.Hv huyu bwana mkubwa alitangaza KUHAMIA ikulu ya Dodoma kutoka Dar es salaam AU ikulu ya Dar es salaam kutoka Dodoma..?
Maana me sielewielewi guys.
Zitto karibu huku ushuhudie wanasiasa nguli wanaojua siasa. Wenzako matatizo ya nchi wanakaa chini na kuzungumza, wewe unaenda ugenini kuzungumza halafu unajiona mwamba wa siasa. Rudi darasani ukajifunze uzalendo.