Rais Magufuli akutana na Viongozi wa vyama vya Siasa nchini, Maalim Seif(ACT-Wazalendo), Prof. Lipumba (CUF) na James Mbatia (NCCR-Mageuzi)

Rais Magufuli akutana na Viongozi wa vyama vya Siasa nchini, Maalim Seif(ACT-Wazalendo), Prof. Lipumba (CUF) na James Mbatia (NCCR-Mageuzi)

hiviii.. huyu MEKO si ndie alimsema SHEN kwa kitendo cha MAALIM kutompa mkono wa SALAM akasema angekuwa yeye angefuta huduma zote kwa MAALIM!

leo sasa badala ya kuacha kutoa mkono MAALIM kaamua kutoa MGUU kama salam na MEKO bila hiyana kapokea 🤣 ✌😂😂🙄
Mkuu hujasikia taarufa za ugonjwa hatari wa CORONA? acha kupinga kila jambo!
 
20200303_142122.jpg

Kwa kweli leo umependeza saana. Umependeza kweli kweli mheshimiwa. Mungu akubariki sana.
 
Lumumba pressure inazidi kupanda.End game ya Magu ni ipi? CCM weenyeji kazi kwenu.
 
Hv huyu bwana mkubwa alitangaza KUHAMIA ikulu ya Dodoma kutoka Dar es salaam AU ikulu ya Dar es salaam kutoka Dodoma..?
Maana me sielewielewi guys.
Mkuu Shombe Bwana mkubwa alihamia mwaka jana oktoba au novemba. Hapo alikaa wiki moja tu.
Baada ya hapo akaenda zake Chato (kwa mapumziko???) Na desemba alikuwa kwenye sherehe za uhuru zilizofanyika mwanza (kwa mara ya kwanza!!!). Akaja dsm. Sidhani kama ataenda tena dom!!!
 
Tunajaribu Kuimpress Mabeberu Ili Tupate Pesa Ya Uchaguzi.

Ila Watu Weusi Hatuna Akili Kabisa, Yaani Suala Ambalo Ni Kwa Faida Yetu Wenyewe Na Watoto Wetu, Kulifanya Mpaka TULAZIMISHWE NA WAZUNGU !!!
 
Zitto karibu huku ushuhudie wanasiasa nguli wanaojua siasa. Wenzako matatizo ya nchi wanakaa chini na kuzungumza, wewe unaenda ugenini kuzungumza halafu unajiona mwamba wa siasa. Rudi darasani ukajifunze uzalendo.

Ni hivi tunataka tume huru ya uchaguzi, hayo mazungumzo yalenge hapo tu na sio kinyume chake.
 
Back
Top Bottom