Rais Magufuli akutana na Viongozi wa vyama vya Siasa nchini, Maalim Seif(ACT-Wazalendo), Prof. Lipumba (CUF) na James Mbatia (NCCR-Mageuzi)

Rais Magufuli akutana na Viongozi wa vyama vya Siasa nchini, Maalim Seif(ACT-Wazalendo), Prof. Lipumba (CUF) na James Mbatia (NCCR-Mageuzi)

Mkuu Zitto yule ni state agent tu ila sema watu hatuja mstukia

In God we Trust
Zitto alikuwa aina ya state agent fulani wakati wa Kikwete ila sasa sijui. Ni hivi.Chama cha ATC Wazalendo kiliundwa kimkakati. Ni kazi ya Kikwete na Membe. Nia yao kubwa ilikuwa ni kudhoofisha nguvu za Chadema wakati wa uchaguzi wa 2015. Kikwete na Membe katika mahesabu yao walikwishaona kuwa Membe ndiye atateuliwa kushika bendera ya CCM.

Hofu yao ilikuwa ni nguvu ya Chadema wakati ule hivyo Zitto akawezeshwa kuanzisha chama kitakachopunguza kura za Chadema. Kipindi hicho ni kabla dr Slaa hajahama na wala hawakuwa wanawaza kuwa Chadema inaweza kumpokea Lowassa.

Sasa baada ya uchaguzi kuisha na utawala wa sasa kuonyesha kutomjali Zitto ikabidi ageuke kuwa mpinzani wa kweli huku akisaidiwa kwa background na walewale wafadhili wake.
 
Inawezekena ni kitu kizuri lakini timing yake, why now mwaka wa uchaguzi baada ya kuwanyanyasa miaka minne yote.

Kuwatupa sero na kuwadhalilisha.JPM atakua na agenda ya kiibilisi tu nyuma ya haya yote moja ni wananchi kuacha kua na matumaini na hawa viongozi wa upinzani...

Anyway Muda ndio msema kweli tusubiri, mengine ni assumptions.
 
Tuondolee umbeya hapa.magufuli atake kuhamia halafu atokee mtu wa kumwambia subiri.
Kwani tatizo lako nini?
Kujenga ikulu ya Rais si sawa na kujenga nyumba yako kimara kilungule
Rais alishahamia rasni,video zipo,wenyewe wamemwambia subiri kwanza,afanyaje?
 
Mkuu Digba, naunga mkono hoja,
Kwa wengi mkutano huu wa rais Magufuli ni kama surprise hivi, lakini kwa sisi ma terendi ridaz, this was expected.

Trend reading zaonyesha Tanzania njema kisiasa, Rais Magufuli is changing for the better!. Je, soon kukaa na wapinzani, kuruhusu mikutano ya siasa?!.
P
P.

Na wewe unapigwa danadana na wanasiasa. Unapigwa asubuhi na mchana unadanganywa na kufika ikulu. Shame kabisa [emoji706][emoji706]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu wewe ulitaka nini kisikike masikioni mwako ndo ujue sio wanasiasa? Au ulitaka usikie Magufuli amtwanga Ngumi ya pua maalim seif ndo ufurahi,behave basi,siasa na mchezo ambao hautaki hasira maana siasa sio shuki kama walivyo kalilishwa wafuasi wa chadema,ndo maana wako kishari Shari tu
P.

Na wewe unapigwa danadana na wanasiasa. Unapigwa asubuhi na mchana unadanganywa na kufika ikulu. Shame kabisa [emoji706][emoji706]

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
..wanasalimiana kwa miguu lakini MAANDALIZI ya kukabiliana na coronaviris ni SIFURI.
Ndiyo maandalizi yenyewe hayo ndugu. Kuwafanya watu wawe na tahadhari. Tuweke siasa pembeni: Kadiri wachina wanavyoingia ncha za Afrika Mashariki kwa wingi sasa hivi bado nashangaa ni kwanini nchi zetu hazijawa na maambukizi.

Nchi za Ulaya nyingi zimeshapata wagojwa. Nilikuwa nawaza misongomano ya hizi nchi zetu kama kwenye daladala na nyumba za kupanga nikasema huu ugonjwa ukifika kwetu utasambaa kwa kasi ya ajabu na karibu kila mtu ataugua. Jambo jingine: Juzi nilikuwa nasoma habari za nchini Finland, wakasema hii flu ya kawaida kwa mwaka ina mortality rate kubwa zaidi kuliko Corona Kwa kifupi inaua watu wengi zaidi kila mwaka ukifananisha na mortality rate ya Corona.

Na kwa wasiofahamu ni kuwa kila mwaka nchi za Ulaya huwa kuna chanjo za flu ya kawaida. Watu wazee, wagonjwa na wanaofanya kazi kwenye sehemu za hospital hupata chanjo. Kwetu flu watu hawaijali na sikuwahi kusikia mtu kafa kwa flu. (pengine wapo ila data hakuna.)
 
Kwa nini asikutane nao kwa pamoja??
I can smell a very awful smelling rat...!!
 
Back
Top Bottom