macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 25,191
- 48,765
Zitto alikuwa aina ya state agent fulani wakati wa Kikwete ila sasa sijui. Ni hivi.Chama cha ATC Wazalendo kiliundwa kimkakati. Ni kazi ya Kikwete na Membe. Nia yao kubwa ilikuwa ni kudhoofisha nguvu za Chadema wakati wa uchaguzi wa 2015. Kikwete na Membe katika mahesabu yao walikwishaona kuwa Membe ndiye atateuliwa kushika bendera ya CCM.Mkuu Zitto yule ni state agent tu ila sema watu hatuja mstukia
In God we Trust
Hofu yao ilikuwa ni nguvu ya Chadema wakati ule hivyo Zitto akawezeshwa kuanzisha chama kitakachopunguza kura za Chadema. Kipindi hicho ni kabla dr Slaa hajahama na wala hawakuwa wanawaza kuwa Chadema inaweza kumpokea Lowassa.
Sasa baada ya uchaguzi kuisha na utawala wa sasa kuonyesha kutomjali Zitto ikabidi ageuke kuwa mpinzani wa kweli huku akisaidiwa kwa background na walewale wafadhili wake.