Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aliokutana nao sio Wapinzani amekutana na viongozi wa Vyama Tanzu na CCM,uliona wapi Mwenyekiti wa Upinzani akapokelewa na Mkuu wa Mkoa Kada wa CCM?Mkuu Magufuli hajakutana na hao wapinzani kwa kuwa anataka muafaka, bali kukutana na hao wapinzani ili kuhadaa dunia kuwa anatenda haki kwa wapinzani wake. Lengo hasa la hiyo hadaa ni ili kujitoa kwenye mbinyo wa kimataifa na sio kutenda haki. Kama kweli angekuwa mtenda haki angekubali tume huru ya uchaguzi na katiba mpya. Usiwe mwepesi kuhadaiwa na siasa nyepesi.
Kazi ya Mabeberu inaanza kuonekana. Ndio maana walikuwa hawana namna lazima wamfukuze Membe maana wanaona kabisa jicho la mabeberu lipo wazi muda wote.
Hivi ninyi wapi-mzani nani aliwadanganyeni kuwa tume huru itapatikana bila kuwa na mabadiliko ya katiba? Tume iliyopo inatambuliwa na katiba na tumekuwa nayo for about 60 years,I don't catch you well
Sent using Jamii Forums mobile app
Fungua macho uoneZitto karibu huku ushuhudie wanasiasa nguli wanaojua siasa. Wenzako matatizo ya nchi wanakaa chini na kuzungumza, wewe unaenda ugenini kuzungumza halafu unajiona mwamba wa siasa. Rudi darasani ukajifunze uzalendo.
Mbowe wapiiii sijamuonaKwa hiyo hapo wanakwepa Corona bin Covid-19?
Duh!Usimuamini mwanasiasa mwenye ngozi nyeusi.
Hahaha muda ni mwl mzuri sanaNi swala la sekunde kadhaa, mtu kuunga mkono juhudi.
Walipaswa kusema baadhi ya vyama vya siasa hapa nchiniRais wa Tanzania John Pombe Magufuli akiagana na Mwanasiasa Mkongwe ambaye ni Mwanachama wa Chama cha ACT Wazalendo Maalim Seif Sharif Hamad mara baada ya kumaliza mazungumzo yao Ikulu Jijini Dar es Salaam.
My take,hizi ndo siasa safi.
=====
View attachment 1375373
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo ya faragha na Mwanasiasa Mkongwe ambaye ni Mwanachama wa Chama cha ACT Wazalendo Maalim Seif Sharif Hamad, Ikulu Jijini Dar es Salaam.
View attachment 1375350
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiagana Mwanasiasa Mkongwe ambaye ni Mwanachama wa Chama cha ACT Wazalendo Maalim Seif Sharif Hamad kwa kutokugusana mikono, Ikulu Jijini Dar es Salaam. Salamu hiyo ya kutokugusana mikono ni kutekeleza ushauri ya Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu wenye lengo kujihadhari dhidi ya virusi vya ugonjwa wa Corona.
View attachment 1375372
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia jambo na Mwanasiasa Mkongwe ambaye ni Mwanachama wa Chama cha ACT Wazalendo Maalim Seif Sharif Hamad mara baada ya mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es Salaam.
View attachment 1375387
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo ya faragha na Mwanasiasa Mkongwe ambaye ni Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi CUF Profesa Ibrahim Lipumba, Ikulu Jijini Dar es Salaam.
View attachment 1375390
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika Picha na Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi CUF Profesa Ibrahim Lipumba mara baada ya kumaliza mazungumzo yao Ikulu Jijini Dar es Salaam.
View attachment 1375391
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na Mwenyekiti wa Chama cha NCCR Mageuzi James Mbatia Ikulu jijini Dar es Salaam.
View attachment 1375395
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo na Mwenyekiti wa Chama cha NCCR Mageuzi James Mbatia Ikulu jijini Dar es Salaam.