Rais Magufuli alifanya mambo yasiyofaa na Rais Samia anarekebisha mabaya yaliyofanywa

Bila kuficha wala kuogopa, kwamba Rais Magufuli alifanya mambo ambayo ni kinyume kabisa na uongozi bora na alikuwa akitupeleka kwenye hali mbaya sana kama taifa la Tanzania. Alikuwa na kauli za kinafiki na hata kuamuru taasisi za serikali kubambikia watu kesi. Kuna mengi sana ambayo yote yakiwekwa wazi hakuna atakaetaka jina la Magufuli lionekane popote nchini, labda hayo mengine tuyaache kwa sasa.

Lakini sasa kazi kubwa anayofanya Rais Samia ni kuturudisha kwenye mstari sahihi wa uongozi kwa maslahi ya Watanzania wote. Rais Samia anastahili pongezi toka kwa kila Mtanzania mwenye akili timamu, sio lawama na shutuma. Wito wangu kwa Raisi Samia ni kuwaondoa au angalau kuwabadilisha kazi viongozi wa taasisi wote waliomtumikia Magufuli katika kutekeleza mambo maovu dhidi ya serikali na wananchi - iwe kwa kuwadhuru watu au kuhujumu mali na fedha za taifa. Nenda mbali zaidi ya Takukuru - angalia pia katika taasisi zote za serikali, za kijeshi na kiraia kutia ndani wakuu wa mikoa na wilaya. Watu hawa wamekosa imani toka kwa wananchi na hawafai tena katika nafasi zao, hawana legitimacy ya kuendelea kushika nafasi walizotumiwa vibaya. Wanaweza kuwa walitumika na si kosa lao la moja kwa moja, lakini kanuni za uongozi zinalazimu waondoke au waondolewe.

Ni vizuri watu wakaelewa haya ili kumwelewa Rais Samia. Haisaidii lolote kuficha ficha mambo. Tuko pamoja nawe Rais Samia, kwa maslahi ya Watanzania na Afrika kwa ujumla. Hongera sana mama, ziba masikio usisikie kelele za vyura wanaodhani watamzuia ng'ombe kunywa maji wakizidisha kelele.

View attachment 2196325
Huo mzee anayeongea katika hiyo video anaitwa nani?.
 
Uovu upi?, Una uthibitisho upi kuwa alifanya mambo mengi maovu?. Je Yale mazuri nayo utasemaje?... Kila kipindi, Kila awamu ya uongozi Kuna mambo mengi yanayofanyika nyuma yake ambayo hayajulikani na yanajulikana. Siasa ni mchezo wa Siri Sana ambao unachezwa mbele ya adhara na nyuma ya adhara pia. Usimseme tu kwa maovu yake, kumbuka na mazuri yake pia. Maana yeye si wa kwanza kutenda Ayo matendo unayosema ww kuwa ameyatenda. [emoji848]
 
Huyu mtu alikuwa muuaji mkatili tangu mwanzo. Kuna watu wana hasira nae hata wangeachwa na maiti yake wangeitandika viboko. Acha jiwe liitwe jiwe
 
Wenye kuweza kuichapa viboko maiti yake yana matatizo ya kichwa, ni wagonjwa wa akili wa kulazwa hospitalini.

JPM kwa wezi wa mali za umma na mafisadi hakuwa na msamaha hata kidogo, ni haki yao kumchukia lakini unyama umefanywa na marais wote kuanzia Mwalimu Nyerere.
 
Kwa sababu na yeye alikwa mwizi. Ni kawaida Simba kuua wanyama wengine walao nyama kama yeye
 
Chuki ulionayo kwa Hayati jpm itakutafuna mpaka unakufa
Wahalifu ndiyo hao,hawawezi kumpenda magu kazi aliyofanya hata Nyerere hakuthubutu kuifanya na Kama hata kuwa mfano,basi nchi hii maendeleo tisahau.
 
Binafsi siwezi kumpenda muuaji asilani hata afanye mazuri mengi kiasi gani. Hitler aliinua sana uchumi wa Germany, na bila WWII hakuna nchi duniani ingeikaribia Germany kwa uchumi imara. Na hata Hitler aliwapenda watu wake na kuanzisha gari ya VW kwa ajili ya kila Mjerumani, lakini ni watu punguani tu ambao wanampenda Hitler
 
Bila kuficha wala kuogopa, kwamba Rais Magufuli alifanya mambo ambayo ni kinyume kabisa na uongozi bora na alikuwa akitupeleka kwenye hali mbaya sana kama taifa la Tanzania. Alikuwa na kauli za kinafiki na hata kuamuru taasisi za serikali kubambikia watu kesi. Kuna mengi sana ambayo yote yakiwekwa wazi hakuna atakaetaka jina la Magufuli lionekane popote nchini, labda hayo mengine tuyaache kwa sasa.

Lakini sasa kazi kubwa anayofanya Rais Samia ni kuturudisha kwenye mstari sahihi wa uongozi kwa maslahi ya Watanzania wote. Rais Samia anastahili pongezi toka kwa kila Mtanzania mwenye akili timamu, sio lawama na shutuma. Wito wangu kwa Raisi Samia ni kuwaondoa au angalau kuwabadilisha kazi viongozi wa taasisi wote waliomtumikia Magufuli katika kutekeleza mambo maovu dhidi ya serikali na wananchi - iwe kwa kuwadhuru watu au kuhujumu mali na fedha za taifa. Nenda mbali zaidi ya Takukuru - angalia pia katika taasisi zote za serikali, za kijeshi na kiraia kutia ndani wakuu wa mikoa na wilaya. Watu hawa wamekosa imani toka kwa wananchi na hawafai tena katika nafasi zao, hawana legitimacy ya kuendelea kushika nafasi walizotumiwa vibaya. Wanaweza kuwa walitumika na si kosa lao la moja kwa moja, lakini kanuni za uongozi zinalazimu waondoke au waondolewe.

Ni vizuri watu wakaelewa haya ili kumwelewa Rais Samia. Haisaidii lolote kuficha ficha mambo. Tuko pamoja nawe Rais Samia, kwa maslahi ya Watanzania na Afrika kwa ujumla. Hongera sana mama, ziba masikio usisikie kelele za vyura wanaodhani watamzuia ng'ombe kunywa maji wakizidisha kelele.

View attachment 2196325
Yepi
 
Kwa sababu na yeye alikwa mwizi. Ni kawaida Simba kuua wanyama wengine walao nyama kama yeye
Kuna kitu JPM alikufanyia kiliharibu maisha yako mpaka leo, maana siyo kwa chuki hii. Wewe ni aidha ulifukuzwa kazi kwa cheti feki, muuza madawa, ulikatwa kwenye siasa au ulikua mpiga dili. Uovu wote unaosema wa JPM hauna uthibitisho wowote bali umejengwa juu ya chuki, ndo maana unataka mpaka viongozi walioteuliwa na JPM waondolewe hata kama ni wazuri. Nakushauri uponye moyo wako, kama uliumizwa kwa matendo yako anza upya jisahihishe otherwise utakufa na kihoro. Mtu unaemshtumu hayupo tena hakusikii wala hawezi kujitetea kwa lolote. Angalia uongozi wasasa utakufanyia nini?
 
Tuandike historia upya, tuseme Tanzania haikuwa na raisi kuanzia mwaka 2015- machi 2021, ili jina la jpm lisionekane mahali popote! Tumechoka na habari za kumnanga jpm
 
Kuna kitu JPM alikufanyia kiliharibu maisha yako mpaka leo, maana siyo kwa chuki hii. Wewe ni aidha ulifukuzwa kazi kwa cheti feki, muuza madawa, ulikatwa kwenye siasa au ulikua mpiga dili. Uovu wote unaosema wa JPM hauna uthibitisho wowote bali umejengwa juu ya chuki, ndo maana unataka mpaka viongozi walioteuliwa na JPM waondolewe hata kama ni wazuri. Nakushauri uponye moyo wako, kama uliumizwa kwa matendo yako anza upya jisahihishe otherwise utakufa na kihoro. Mtu unaemshtumu hayupo tena hakusikii wala hawezi kujitetea kwa lolote. Angalia uongozi wasasa utakufanyia nini?
Mie nafanya kazi nje ya nchi. Kwa hiyo uko wrong on all counts
 
Wenye kuweza kuichapa viboko maiti yake yana matatizo ya kichwa, ni wagonjwa wa akili wa kulazwa hospitalini.

Hivi CCM unafiki na JPM ni vitu viwili tofauti?
Kuna wakati kunakuwa na tofauti. Kumbuka CCM ni chama ambacho ndani yao wanafiki huenda ni 3% ambao ni viongozi. The rest ni wanachama watu wa kawaida tu kama mimi na wewe. Wakati wa JPM, yeye ndio alikuwa CCM, na the rest makanyaboya tu yakiogopa hata kumjibu au kutoa pendekezo
 
Huyu mtu alikuwa muuaji mkatili tangu mwanzo. Kuna watu wana hasira nae hata wangeachwa na maiti yake wangeitandika viboko. Acha jiwe liitwe jiwe
Watu hujisahaulisha sana kwa sababu ya mahaba
Mwangosi
Ulimboka
Kibanda
Tembo
Twiga
Escrow
Iptl
Et la
Wote ni unyama ule ule.
Marais/wafalme wote duniani wana ukatili tangu enzi za Sauli
 
Bila kuficha wala kuogopa, kwamba Rais Magufuli alifanya mambo ambayo ni kinyume kabisa na uongozi bora na alikuwa akitupeleka kwenye hali mbaya sana kama taifa la Tanzania. Alikuwa na kauli za kinafiki na hata kuamuru taasisi za serikali kubambikia watu kesi. Kuna mengi sana ambayo yote yakiwekwa wazi hakuna atakaetaka jina la Magufuli lionekane popote nchini, labda hayo mengine tuy

Bila kuficha wala kuogopa, kwamba Rais Magufuli alifanya mambo ambayo ni kinyume kabisa na uongozi bora na alikuwa akitupeleka kwenye hali mbaya sana kama taifa la Tanzania. Alikuwa na kauli za kinafiki na hata kuamuru taasisi za serikali kubambikia watu kesi. Kuna mengi sana ambayo yote yakiwekwa wazi hakuna atakaetaka jina la Magufuli lionekane popote nchini, labda hayo mengine tuyaache kwa sasa.

Lakini sasa kazi kubwa anayofanya Rais Samia ni kuturudisha kwenye mstari sahihi wa uongozi kwa maslahi ya Watanzania wote. Rais Samia anastahili pongezi toka kwa kila Mtanzania mwenye akili timamu, sio lawama na shutuma. Wito wangu kwa Raisi Samia ni kuwaondoa au angalau kuwabadilisha kazi viongozi wa taasisi wote waliomtumikia Magufuli katika kutekeleza mambo maovu dhidi ya serikali na wananchi - iwe kwa kuwadhuru watu au kuhujumu mali na fedha za taifa. Nenda mbali zaidi ya Takukuru - angalia pia katika taasisi zote za serikali, za kijeshi na kiraia kutia ndani wakuu wa mikoa na wilaya. Watu hawa wamekosa imani toka kwa wananchi na hawafai tena katika nafasi zao, hawana legitimacy ya kuendelea kushika nafasi walizotumiwa vibaya. Wanaweza kuwa walitumika na si kosa lao la moja kwa moja, lakini kanuni za uongozi zinalazimu waondoke au waondolewe.

Ni vizuri watu wakaelewa haya ili kumwelewa Rais Samia. Haisaidii lolote kuficha ficha mambo. Tuko pamoja nawe Rais Samia, kwa maslahi ya Watanzania na Afrika kwa ujumla. Hongera sana mama, ziba masikio usisikie kelele za vyura wanaodhani watamzuia ng'ombe kunywa maji wakizidisha kelele.

View attachment 2196325
Propangandist in action, mnatumia nguvu kubwa sana kuhalalisha uovu wenu, wameona wameshindwa kufanya yale yaliyofanyika awamu ya tano wameamua kuwatumia wachumia tumbo kuichafua awamu ya tano.
 
Back
Top Bottom