Rais Magufuli alifanya mambo yasiyofaa na Rais Samia anarekebisha mabaya yaliyofanywa

Nyamaza vyeti feki wewe. Tena alikosea angewa-sweka ndani kama sheria inavyosema ndio mngeshika adabu!
 
Ni hatari sana kumpa mtu mmoja madaraka makubwa mno ya kupindukia kuigoza nchi.
Mfumo wa teuzi kwa nyadhifa za juu ungepitia tume huru ya teuzi na kuidhinishwa na idadi ya theruthi mbili ya wabunge.
Pale wabunge wanapokuwa hawalidhishwi na utendaji kazi wa Afisa yeyote hata akiwa waziri wanamweka kitimoto tena live kwenye TV.anapojieleza au kujitetea.
Akija afisa akaleta visingizio vya ni "maamuzi kutoka juu",basi bunge litafanya utaratibu wa kumwita na kumhoji mtu wa juu.
Kama mtu au watu watabainika kukiuka maadili ya kazi basi bunge liagize mamlaka husika iwachukulie hatua za kisheria.
Kwa namna hiyo tutaondoa teuzi za upendeleo na kuwawajibisha wateule waovu.
 
Huyu mtu sijuiinu nani,sijui ni Gerson Msigwa.
Anaongea mambo inconsequential,anaongea uongo,anaongea misinformation na misrepresentation.
Kuhusu kipimo cha Covid. yule mtu mwenyewe aliyegundua kile kifaa Cha kupima Covid,alisema,"Be very careful unapotumia hiki kifaa. Ana sivyo utagundua Covid ndani ya fenesi." Halafu wewe unatueleza Magufuli alikuwa anaonea watu.
A lot of rubbish ameongea huyu mtu amezungumza. Hakuna muda wa kuchambua kila kitu Itoshe tu kusema Magufuli alikuwa na iron will,akli mathubuti,hapa kazi tu. Na vijana wamejifunza. Panya Road walikuwepo siku zote. But this time they may cause more trouble.
Siyo Magufuli aliwazuia watoto wajawazito kusoma,Ni Salma Kikwete.
Kuhusu appointments,yanaweza kutokea matatizo ya hapa na pale kwa ajili Rais ana washauri wengi. Lakini kumsema mtu ambaye ame sacrifice maisha yake kuwasaidia Watanzsnia,na sasa yuko Mbinguni anawaongoza malaika,hiyo haikubaliki.
Halafu Janet Magufuli alikuwa interviewed juzi, apparently anasema,"Mi nacheka kuambiwa kwamba Magufuli alikuwa anaumwa moyo" Ile clip sikupata nafasi ya kuiona kwa sababu simu yangu iliisha charge ghafla.
 
Kwa huo uchawa wakikwambia utoe boga wakupe teuzi Si utatoa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa maneno yake amesema anayarekebisha 👇

 
Thanks. Na hiyo principal ndiyo hata M/Mungu anaitumia. Sisi tulimuweka Magufuli awe rais wetu, kuna mambo mazuri alifanya ktk kutekeleza wajibu wake. Well and good, na tulimlipa mshahara aliostahili. Kuna Yale mabaya aliyofanya- ya ovyo, ya kijinga, ya kikatili, maneno yasiyofaa, kutukana watu, kashfa, ubaguzi, udhalilishaji nk. Kwa hayo alaaniwe. Mungu akisamehe kizazi chake.
Uovu mmoja, japo wa mara moja, hubatilisha maovu yote mazuri, japo ya miaka mingi

Tenda wema na ukarimu mtaani kwako kwa miaka kumi, halafu siku mmoja mbake mtoto wa miaka mitano wa jirani yako, utajifunza jambo, kama utabakishwa hai.

Uovu mmoja, japo wa mara moja, hubatilisha maovu yote mazuri, japo ya miaka mingi

Tenda wema na ukarimu mtaani kwako kwa miaka kumi, halafu siku mmoja mbake mtoto wa miaka mitano wa jirani yako, utajifunza jambo, kama utabakishwa hai.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…