Mbona bado anamuamini mkuu wa mkoa wa Tabora, Aggrey Mwanri; kwa mfano?...Kila anaetoka ukanda huo anamuona mwizi na haaminiki katika jamii....
Wezi kama wachaga wa kibosho lazima wakinai maana mafisadi wote ni kiguu na njia SegereaKibinafsi nilimkubali sana huyu mzee,nilipenda amri zake nilipenda mabadiliko yake nilipenda uchapakazi wake na misimamo yake pia.
Japo kuwa katika utafiti wa mwaka 2015 asilimia kubwa ya watz walipenda apatikane raisi mkali lakini huyu msukuma kazidi sana.
Kila mtu anajionea matukio yote ya ziara zake anazodhalilisha viongozi na watendaji wengine kiasi kwamba hakuna wa kumfanya kitu.
Chuki yake dhidi ya jamii ya watu wa kaskazini ni mbaya sana. Kila anaetoka ukanda huo anamuona mwizi na haaminiki katika jamii.
Maneno yake na serikali yake yanathibitisha hilo. Akumbuke nae atakuwa na mwisho wa utawala vipi kama jamii yake ikijatengwa katika utawala wake?
Akiwa kama rais anapaswa kuwa na hekima,busara na heshima ili kuwa kama mfano kwa viongozi wengine.
Ni hayo tu mwenye nyongera karibu
Kama ambavyo wachaga wengi walivyowapigaji pesa!
......huyu ni mmasai mmoja (Sabaya) kutoka huko... By Freeman Mbowe kwenye mkutano wake wa juzi uliovamiwa.
.... Msukuma mfupi...kauli nyingine kutoka kwa viongozi wa Chadema.
Mkuu hilo hawalioni ila wakiguswa wao kelele nyingiii. Pole pole watanyooka tu.......huyu ni mmasai mmoja (Sabaya) kutoka huko... By Freeman Mbowe kwenye mkutano wake wa juzi uliovamiwa.
.... Msukuma mfupi...kauli nyingine kutoka kwa viongozi wa Chadema.
Dogo angalia maneno yako hayo ooh!. Kuna principle flan hv ya kichina inasema "soft is strong"!Kibinafsi nilimkubali sana huyu mzee,nilipenda amri zake nilipenda mabadiliko yake nilipenda uchapakazi wake na misimamo yake pia.
Japo kuwa katika utafiti wa mwaka 2015 asilimia kubwa ya watz walipenda apatikane raisi mkali lakini huyu msukuma kazidi sana.
Kila mtu anajionea matukio yote ya ziara zake anazodhalilisha viongozi na watendaji wengine kiasi kwamba hakuna wa kumfanya kitu.
Chuki yake dhidi ya jamii ya watu wa kaskazini ni mbaya sana. Kila anaetoka ukanda huo anamuona mwizi na haaminiki katika jamii.
Maneno yake na serikali yake yanathibitisha hilo. Akumbuke nae atakuwa na mwisho wa utawala vipi kama jamii yake ikijatengwa katika utawala wake?
Akiwa kama rais anapaswa kuwa na hekima,busara na heshima ili kuwa kama mfano kwa viongozi wengine.
Ni hayo tu mwenye nyongera karibu
Basi hapo sare sare mkuu!Mengi ndie mchaga pekee mwenye roho nzuri-Rc
Kwanini mnawapa hela wakina Mushi/bwashee wawawekee?-Bwn Mkubwa