Rais Magufuli alipendwa lakini sasa watu wamemkinai kwa itikadi yake

Rais Magufuli alipendwa lakini sasa watu wamemkinai kwa itikadi yake

Kwa taarifa yko Rais Magufuri Anapendwa sana na wananchi wa khari
Kibinafsi nilimkubali sana huyu mzee,nilipenda amri zake nilipenda mabadiliko yake nilipenda uchapakazi wake na misimamo yake pia.

Japo kuwa katika utafiti wa mwaka 2015 asilimia kubwa ya watz walipenda apatikane raisi mkali lakini huyu msukuma kazidi sana.

Kila mtu anajionea matukio yote ya ziara zake anazodhalilisha viongozi na watendaji wengine kiasi kwamba hakuna wa kumfanya kitu.

Chuki yake dhidi ya jamii ya watu wa kaskazini ni mbaya sana. Kila anaetoka ukanda huo anamuona mwizi na haaminiki katika jamii.

Maneno yake na serikali yake yanathibitisha hilo. Akumbuke nae atakuwa na mwisho wa utawala vipi kama jamii yake ikijatengwa katika utawala wake?

Akiwa kama rais anapaswa kuwa na hekima,busara na heshima ili kuwa kama mfano kwa viongozi wengine.

Ni hayo tu mwenye nyongera karibu

NAUNGA MKONO HOJA KWA HERUFI KUBWA!!! nikweli magufuri alipendwa pale awali ila sasa hivi anachukiwa na wengi.
UFAFANUZI WANGU:
magufuri pale awali alipendwa na wengi sababu hata mafisadi, wapiga diri, wauza dawa za kulevya, wapenda rushwa, wazembe kazini, majambazi,vibaka, wanywa viroba,waonevu,viraza, vyeti feki, na washenzi wote! Walijua hataweza kubadiri kitu!. Hata ndani ya ccm walijua hataweza.

Hivyo alivyoapishwa tu! Hakucherewa, akaanza nao fasta, nao wakaingia vitani ! Ila kwakuwa alikuwa upande wa haki huku akimshirikisha mungu mpaka sasa Dk ya 44 kipindi cha kwanza ni ubao wa magori unasoma MAGUFURI 3 KUNDI LA MAJIZI-0
Hivyo mashabiki wachafu wameanza kupungua upande wa JPM , ila wanasahau kuwa UBAYA HUWA HAUUSHINDI WEMA.

NYONGEZA..
Nyongeza nikwamba wale wanyonge waliokata tamaa kwa miaka yte, ambao walifika sehem wakakataa hata kupiga kura! Woooote wameamua kurudi ! Na hakika wanaona uchaguzi unacherewa!
Nahakuna uchaguzi mgumu kwa wapinzani kama kama huu wa 2020! Ccm itapata kura ambazo hazijawahi kutokea.
Magufuri anapendwa sanaaaa na wananchi wanyonge ambao walionewa sana kwa miaka mingi.
 
Magufuri, hakucherewa n. K. Ni changamoto kidogo kuzizoea.
 
Ongeza mwenyewe na unafiki wao,mlizoea viongozi wooote mtoke kaskazini kila idara muwe nyie tu,mtaisoma!!
Bahati mbaya chuki haiwezi kubadilisha aliyopanga Mungu. Hao jamaa ni kama Waisraeli, mtakavyozidi kuwaonea gere/wivu wao ndio wanachapa mwendo. Mngejifunza kutoka kwao ingkuwa faida kuliko kuwajengea chuki. Ni maoni na ushauri wa bure!
 
Naomba niongee kitu ambacho kipo mitaani na mtazamo wa watu wengi ikiwemo Mimi, Rais Magufuli anapendea na anakubalika sana. Hapa nimetoa mtazamo, maoni na matarajio ya wengi lakini maoni ya wachache kama yako yaheshimiwe.

Kipimo cha kiongozi kupendwa na kukubalika ni kuheshimu box la kura. Ukiona kiongozi au wapambe wa kiongozi wanahubiri kukubalika, lakini hawaheshimu box la kura, na wanatumia njia za vitisho ili kuhadaa umma kuwa anakubalika, hapo inabidi uangalie hilo linalosemwa na wapambe.
 
Back
Top Bottom