unprejudiced
JF-Expert Member
- Jan 27, 2017
- 3,503
- 2,870
Kibinafsi nilimkubali sana huyu mzee,nilipenda amri zake nilipenda mabadiliko yake nilipenda uchapakazi wake na misimamo yake pia.
Japo kuwa katika utafiti wa mwaka 2015 asilimia kubwa ya watz walipenda apatikane raisi mkali lakini huyu msukuma kazidi sana.
Kila mtu anajionea matukio yote ya ziara zake anazodhalilisha viongozi na watendaji wengine kiasi kwamba hakuna wa kumfanya kitu.
Chuki yake dhidi ya jamii ya watu wa kaskazini ni mbaya sana. Kila anaetoka ukanda huo anamuona mwizi na haaminiki katika jamii.
Maneno yake na serikali yake yanathibitisha hilo. Akumbuke nae atakuwa na mwisho wa utawala vipi kama jamii yake ikijatengwa katika utawala wake?
Akiwa kama rais anapaswa kuwa na hekima,busara na heshima ili kuwa kama mfano kwa viongozi wengine.
Ni hayo tu mwenye nyongera karibu
Unajidanganya. Mkuu. JPM anapendwa na sisi tunaotumia Euro [emoji387] kwa halali tunampenda sana. He knows what he wants. For him. Actions speak louder than cheap words written by people like you.