Rais Magufuli alipendwa lakini sasa watu wamemkinai kwa itikadi yake

Rais Magufuli alipendwa lakini sasa watu wamemkinai kwa itikadi yake

Ww umeona treni tu basi? Hatukuwa na shida ya usafiri,ila tu katuongezea.

Unayajua aliyofanya Chato? Ni sawa na sehem nyingine? Mikoa yenye movement ya hela kaacha kapeleka miradi shimoni
Huyu rais ni mchapa kazi na ni mkali dhidi ya wazembe na mafisadi, acheni uzushi, ingelikua hawapendi watu wa Kaskazini hangeamsha treni za kwenda huko.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
....nilipenda amri zake nilipenda mabadiliko yake nilipenda uchapakazi wake na misimamo yake pia.
 
Huyu rais ni mchapa kazi na ni mkali dhidi ya wazembe na mafisadi, acheni uzushi, ingelikua hawapendi watu wa Kaskazini hangeamsha treni za kwenda huko.
Treni ya Dar - Arusha ilisitisha safari zake akiwa waziri, ATC ilikufa akiwa waziri, barabara na madaraja yanayosombwa na mvua kila siku yalijengwa akiwa waziri ndo maana treni itakufa, ATCL imekufa na barabara na madaraja yatabomoka kwa kujengwa kisiasa baada ya kufukuzwa watalaam.
 
Enzi hizo akiwa rais palikua na ukomo wa mamlaka, ila leo hii ni rais mwenye mamlaka na nia njema, muacheni afanye kazi, maana anatimiza tunayaona kwenye mikoa yote na visiwani habagui.
 
Kibinafsi nilimkubali sana huyu mzee, nilipenda amri zake nilipenda mabadiliko yake nilipenda uchapakazi wake na misimamo yake pia.

Japo kuwa katika utafiti wa mwaka 2015 asilimia kubwa ya watanzania walipenda apatikane raisi mkali lakini huyu msukuma kazidi sana.

Kila mtu anajionea matukio yote ya ziara zake anazodhalilisha viongozi na watendaji wengine kiasi kwamba hakuna wa kumfanya kitu.

Chuki yake dhidi ya jamii ya watu wa kaskazini ni mbaya sana. Kila anaetoka ukanda huo anamuona mwizi na haaminiki katika jamii.

Maneno yake na serikali yake yanathibitisha hilo. Akumbuke nae atakuwa na mwisho wa utawala vipi kama jamii yake ikijatengwa katika utawala wake?

Akiwa kama rais anapaswa kuwa na hekima, busara na heshima ili kuwa kama mfano kwa viongozi wengine.

Ni hayo tu mwenye nyongeza karibu
Kwamba Wachaga wakiiba waachwe tu!!

Kwamba Wachaga wakivamia Magereza waachwe tu....

Kwamba Wachaga wakipokea Rushwa waachwe tu....

Kwamba adhabu ya mwizi, mzembe na Fisadi inahitaji ustaarabu....kwamba anatakiwa aitwe chumbani ili aelezwe makosa yake!!

Kama Wachaga wote hizi ndo fikra zenu basis nashauri msubiri mpaka hapo CDM itachukua nchi.
 
Halafu pia kule kujiona kwake yupo right kuliko wenzake,akumbuke hakuna mkamilifu katika hii dunia mkamilifu pekee ni Mwenyezi Mungu aliyemuumba yeye,mimi,wanyama na mimea......
Rais lazima akuzidini wote....
 
Bado wasukuma wajinga kama nyie mnaendelea kujifunua mlivyo wajinga na washamba

Ni mchaga gani mwizi?
Kama wapo wez wa kichaga hakuna mahakama?
Kwanini wasishtakiwe?

Unahitaji sana elimu elimu elimu ili utoe ujinga ulio nao kichwani.

Back
Top Bottom