Rais Magufuli alipendwa lakini sasa watu wamemkinai kwa itikadi yake

magu anakubalika sana acha porojo aisee, nimekatiza mikoa mingi kila kona nikidadisi naambiwa jamaa amekaza ila yupo freshi anapiga kazi. wanasema kweli amekaza ila wanamkubali, kwa ujumla anakubarika sana, amini usiamini ndio hivyo
nakushauri nenda dukani ''kanunue akili na hekima'' huenda zikakusaidia badala ya kuandika haya!
 
Akili mhando kipi cha kujifunza ambacho wanacho na dunia hawana
Bahati mbaya chuki haiwezi kubadilisha aliyopanga Mungu. Hao jamaa ni kama Waisraeli, mtakavyozidi kuwaonea gere/wivu wao ndio wanachapa mwendo. Mngejifunza kutoka kwao ingkuwa faida kuliko kuwajengea chuki. Ni maoni na ushauri wa bure!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nikiwafikiria hao maengineer kumi waliopigwa chini akili inachoka. Hii awamu kufukuzwa kazi ni sawa na kunywa maji. Makosa ya kufukuzwa kazi yapo lkn kuna mengine ni makosa ya kutoa onyo na kumrekebisha mtu. Hata yeye mwenyew siyo mkamilifu maana angekuw mkamilifu hali isingekuwa hivi. Jamani maisha haya tunapita kuna leo na kesho hamna kitakachobaki milele
 
Mtu ni waziri huko sjui posho anapata na ukute na double standard juu atawezaje kuona upande wa pili wa shillingi? Watu wanaongea tu but hawajui ni kiasi gani wengine wameathirika.Hao wazee wanaolia penshen? Makumpuni ya nje yaliyostopisha shughuli zake hapa ndani. Hao vijana wanaokesha mtaani hawana ajira? Hao waliouawa huko.Hatoongei sababu sjui ni chama hiki sjui kile tuongee hali halisi!
 
Kibinafsi nilimkubali sana huyu mzee, nilipenda amri zake nilipenda mabadiliko yake nilipenda uchapakazi wake na misimamo yake pia.

Japo kuwa katika utafiti wa mwaka 2015 asilimia kubwa ya watanzania walipenda apatikane raisi mkali lakini huyu msukuma kazidi sana.

Kila mtu anajionea matukio yote ya ziara zake anazodhalilisha viongozi na watendaji wengine kiasi kwamba hakuna wa kumfanya kitu.

Chuki yake dhidi ya jamii ya watu wa kaskazini ni mbaya sana. Kila anaetoka ukanda huo anamuona mwizi na haaminiki katika jamii.

Maneno yake na serikali yake yanathibitisha hilo. Akumbuke nae atakuwa na mwisho wa utawala vipi kama jamii yake ikijatengwa katika utawala wake?

Akiwa kama rais anapaswa kuwa na hekima, busara na heshima ili kuwa kama mfano kwa viongozi wengine.

Ni hayo tu mwenye nyongeza karibu

Kwahiyo mnatuaminisha kuwa yeye sio mbaya ila kibaya ni chama na itikadi yake/
mnataka kutufanya wajinga.
 
Alafu sijui wachaga tulimfanya nini?
ubaguzi aliuanzisha mwanae bashite kwa wachaga siku ya msiba wa Mengi.
Hawachukii wachaga, ila anataka keki ya taifa ifaidiwe na kila mtanzania. Mpaka sasa hivi hakuna ulinganifu. Waliofaidi keki ya taifa zaidi ya wengine wanataka mambo yabaki vilevile, tena kwa kejeli kwamba wao wana akili na wana bidii ya kazi kuliko wengine.
Mtazoea mtakapo ona kwamba kila mmoja anayo akili na ni hard worker. Take it easy, mkizoea it will be alright. Na baada ya miaka kumi nahisi kutamuwepo na uwiano katika kufaidi hiyo keki ya taifa.
 
magu anakubalika sana acha porojo aisee, nimekatiza mikoa mingi kila kona nikidadisi naambiwa jamaa amekaza ila yupo freshi anapiga kazi. wanasema kweli amekaza ila wanamkubali, kwa ujumla anakubarika sana, amini usiamini ndio hivyo
Mikutano ya siasa ikiruhusiwa ndio tutajua anakubalika ama la.Hizi zingine ni porojo tu za vijiwe vya Lumumba!
 
Kwa hili nitakuwa kinyume na wewe.

Wachaga wameiba kimkakati sana.

Kwanza kipindi ambacho Mramba wamekuwa mawaziri wa fedha,walifanikiwa kuweka watu wao kila sehemu inayoonesha ina pesa.Kuanzia serkalini,katika taasisi za kibenki,hadi makampuni binafsi kama migodi n.k

Pili walihakikisha vyuo vyote vyenye kutoa wahitimu wanaotarajiwa kuratibu matumizi ya pesa nyingi,vinakuwa na watu wao kuwasaidia kudahili wachaga kwa wingi.Mfano Chuo cha TRA,IFM,TIA,na hata scholarship nje ya nchi.

Tatu,mikopo mingi ilitolewa kwa urahisi sana kwa wachaga bila hata collateral. Akishazalisha,ndipo anajenga na Nyumba ambayo sasa ndiyo atakayotumia kukopa tena.

Nne wahasibu wengi wachaga waliopangwa na tamisemi katika wilaya zenye hela,walifanya ufisadi mkubwa bila hata kuulizwa

Tano,ukikuta mchaga ni polisi basi Ni Traffic

Kwa sasa walishajengewa misingi mizuri ya kufanya biashara na mitaji mikubwa wanayo

Kifupi wachaga sio watu wazuriî
Hichi kizee nashindwa kuelewa,kama maendeleo mchaga anayo toka kitambo, kaiba lini? Chuki yake sasa ni ya waz kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha uongo wewe...unatoa kwa maoni kwa hisia mbaya tu
Kwa hili nitakuwa kinyume na wewe.

Wachaga wameiba kimkakati sana.

Kwanza kipindi ambacho Mramba wamekuwa mawaziri wa fedha,walifanikiwa kuweka watu wao kila sehemu inayoonesha ina pesa.Kuanzia serkalini,katika taasisi za kibenki,hadi makampuni binafsi kama migodi n.k

Pili walihakikisha vyuo vyote vyenye kutoa wahitimu wanaotarajiwa kuratibu matumizi ya pesa nyingi,vinakuwa na watu wao kuwasaidia kudahili wachaga kwa wingi.Mfano Chuo cha TRA,IFM,TIA,na hata scholarship nje ya nchi.

Tatu,mikopo mingi ilitolewa kwa urahisi sana kwa wachaga bila hata collateral. Akishazalisha,ndipo anajenga na Nyumba ambayo sasa ndiyo atakayotumia kukopa tena.

Nne wahasibu wengi wachaga waliopangwa na tamisemi katika wilaya zenye hela,walifanya ufisadi mkubwa bila hata kuulizwa

Tano,ukikuta mchaga ni polisi basi Ni Traffic

Kwa sasa walishajengewa misingi mizuri ya kufanya biashara na mitaji mikubwa wanayo

Kifupi wachaga sio watu wazuriî

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kibinafsi nilimkubali sana huyu mzee, nilipenda amri zake nilipenda mabadiliko yake nilipenda uchapakazi wake na misimamo yake pia.

Japo kuwa katika utafiti wa mwaka 2015 asilimia kubwa ya watanzania walipenda apatikane raisi mkali lakini huyu msukuma kazidi sana.

Kila mtu anajionea matukio yote ya ziara zake anazodhalilisha viongozi na watendaji wengine kiasi kwamba hakuna wa kumfanya kitu.

Chuki yake dhidi ya jamii ya watu wa kaskazini ni mbaya sana. Kila anaetoka ukanda huo anamuona mwizi na haaminiki katika jamii.

Maneno yake na serikali yake yanathibitisha hilo. Akumbuke nae atakuwa na mwisho wa utawala vipi kama jamii yake ikijatengwa katika utawala wake?

Akiwa kama rais anapaswa kuwa na hekima, busara na heshima ili kuwa kama mfano kwa viongozi wengine.

Ni hayo tu mwenye nyongeza karibu
CHAGGA DEVELOPMENT MANIFESTO (chadema)@work.

Mtachonga, mtafitinisha,lakini enzi za wizi wenu hazitarudi kamwe.

Mnajitahidi sana kujaza chuki na fitna kati ya mheshimiwa JPM na sisi wananchi wapiga kura wake, lakini kamwe hamtaweza.

Huyu bulldozer yupo na ataendelea kutuongoza kwa ridhaa ya sanduku la kura mpaka 2025.[emoji1241]

Ni vema mkaelewa kwamba tunawaona,tunayashuhudia yote mnayojitahidi kuyafanya, vikao vya usiku na mchana juu kujadili mbinu ovu dhidi ya serikali hii.

Lakini mtachoka na hamtaweza kuyafanya mliyomfanyia yule

mzee
Bob nyange makani (R.I.P).

Sent using Jamii Forums mobile app
 
2025 ndio mwisho wake lakini hatutapungukiwa na kitu labda afanye kama Hitler tu ndio atashinda. lakini kwa hisia hataweza

Kaskazini ndio wapi huko? Na chuki hiyo ameinyesha saa ngapi au lini?
 
Waliomkinai ni akina nani? Nani hakujui wewe Kibosho1 kuwa ni Chadema? Unamkinai Magufuli ambaye hujampigia kura lakini hujamkinai Mbowe mwenye karne moja akiwa madarakani Chadema. Huu utakuwa ukinai wa kipumbavu kuwahi kuusikia!
 
Uongizi unahitaji busara zaidi kuliko shule na hasa uongozi wa kidiasa

Back
Top Bottom