Rais Magufuli alipendwa lakini sasa watu wamemkinai kwa itikadi yake

Rais Magufuli alipendwa lakini sasa watu wamemkinai kwa itikadi yake

NI RAIS MZURI SANA ENDAPI ANGEWEKEZA ZAIDI KWENYE MAENDELEO KULIKO KUWEKEZA KWENYE KUWAZIBA WAPINZANI WASIMKOSOE, HILI LINGEMPA SANA CREDIT, HATA KIMATAIFA ZAIDI SANA ASINGEPOTEZA MDA NA WAPINZANI PAMOJA NA WANA HARAKATI..BILA SHAKA TUNGEKUWA MBALI ZAIDI YA HAPA ALIPOTUFIKISHA.UNAPOKOSOLEWA NDIPO UNAFANYA MAZURI ZAIDI


NIMEANDIKA KWA HERUFI KUBWA KUSISITIZA UJUMBE WANGU.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kweli angeacha maendeleo yaongee tu hata wakosoaji wangeonekana wanafiki
NI RAIS MZURI SANA ENDAPI ANGEWEKEZA ZAIDI KWENYE MAENDELEO KULIKO KUWEKEZA KWENYE KUWAZIBA WAPINZANI WASIMKOSOE, HILI LINGEMPA SANA CREDIT, HATA KIMATAIFA ZAIDI SANA ASINGEPOTEZA MDA NA WAPINZANI PAMOJA NA WANA HARAKATI..BILA SHAKA TUNGEKUWA MBALI ZAIDI YA HAPA ALIPOTUFIKISHA.UNAPOKOSOLEWA NDIPO UNAFANYA MAZURI ZAIDI


NIMEANDIKA KWA HERUFI KUBWA KUSISITIZA UJUMBE WANGU.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hahahha mkuu Vibe la anko Magu huku uraiani si la kitoto,mbowe na chadema siku hizi wanaonekana kama raia wa .

Ntafutie Rais aliyekuwa anajaza watu barabarani(sio kwenye mikutano rasmi)kwa kipindi ambacho sio cha kampeni.

Sent using Jamii Forums mobile app
labda umezaliwa kipindi cha Magu ila Marais walikuwa wanajaza watu kama kawa tatizo walikuwa hawapendi sifa kama Magu muda wote yupo live ukiend Tbc,Chanel ten,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama ambavyo wachaga wengi walivyowapigaji pesa!
Wakoloni walipokuja Africa walitukuta kwenye usingizi wa pono. Walichofanya kwa kuona mbele ndicho kinachowafanya waendelee kuwa mbele mpaka leo.
 
Kibinafsi nilimkubali sana huyu mzee, nilipenda amri zake nilipenda mabadiliko yake nilipenda uchapakazi wake na misimamo yake pia.

Japo kuwa katika utafiti wa mwaka 2015 asilimia kubwa ya watanzania walipenda apatikane raisi mkali lakini huyu msukuma kazidi sana.

Kila mtu anajionea matukio yote ya ziara zake anazodhalilisha viongozi na watendaji wengine kiasi kwamba hakuna wa kumfanya kitu.

Chuki yake dhidi ya jamii ya watu wa kaskazini ni mbaya sana. Kila anaetoka ukanda huo anamuona mwizi na haaminiki katika jamii.

Maneno yake na serikali yake yanathibitisha hilo. Akumbuke nae atakuwa na mwisho wa utawala vipi kama jamii yake ikijatengwa katika utawala wake?

Akiwa kama rais anapaswa kuwa na hekima, busara na heshima ili kuwa kama mfano kwa viongozi wengine.

Ni hayo tu mwenye nyongeza karibu

Acha Tuhangaike Kwa Wazee
acbec717-405a-44f4-868a-143d524b682f.jpg
 
Huyu rais ni mchapa kazi na ni mkali dhidi ya wazembe na mafisadi, acheni uzushi, ingelikua hawapendi watu wa Kaskazini hangeamsha treni za kwenda huko.
 
Tuliza mshono! Hakuna rais wa maana kuwahi kutokea, si Tz tu hata Afrika na dunia, Magufuli ni wa mfano na mataifa wanamtamani.

Hakuna mbaye hakusikiliza 'madini' aliyoyamwaga kuanzia Ubungo mpaka mwisho wa 'reli'.

Acha kumtengenezea chuki kwa vitu vya kipumbaf.

Penda kuchambua anachoongea mtu, vinginevyo utamuona kila mtu mbaya.

Yule mama aliyelalamika kukombwa hela yao ya upatu, rais aliamrisha jeshi la polisi lifuatilie na hatua madhubuti zichukuliwe.

Mengineyo yaliyofuata pale kila mwenye uelewa anafahamu ya kuwa ulikuwa ni utani tu kusema kwanini walimuamini huyo mhasibu wao mwenye jina la kichaga, kwa hiyo wewe hako kaneno kakakuuma, haujawahi taniwa'eeh basi pole!

Je na aliyetaniwa kuwa kwanini anamkodolea sana mama Janeth, naye tufanye topic!

WaTz tuna manenoneno sana hata kwa mambo yasiyokuwa na maana.

Kwanini haujashukuru kwa hatua za 'papo kwa hapo' alizozichukua darajani Morogoro?

Haulazimishwi kumpenda mtu, lakini kuunga dot za kuokoteza ili kumjengea chuki mtu ambaye hana ubaya unaomtengenezea hilo ni tatizo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jana aliongea maneno ya kipumbavu sana. Pia kuwatukana watendaji wakuu wa wizara hadharani tena ukipeleka matusi hayo kwa jamii ili iyapokee ni kiwango kikubwa cha ulimbukeni. Yani sijui kwanini Rais wa nchi unakuwa na mdomo mchafu kiasi kile!
Watanzania walizoea unafiki na kupakana mafuta kwa mgongo wa chupa.Huyu raisi ni msaada toka kwa Mungu ili tuachane na unafiki wa kuoneana aibu.Tumekuwa na matatizo kutokana na viongozi wapumbavu wa awamu zilizopita.Mungu akulinde Magufuli raisi wangu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kibinafsi nilimkubali sana huyu mzee, nilipenda amri zake nilipenda mabadiliko yake nilipenda uchapakazi wake na misimamo yake pia.

Japo kuwa katika utafiti wa mwaka 2015 asilimia kubwa ya watanzania walipenda apatikane raisi mkali lakini huyu msukuma kazidi sana.

Kila mtu anajionea matukio yote ya ziara zake anazodhalilisha viongozi na watendaji wengine kiasi kwamba hakuna wa kumfanya kitu.

Chuki yake dhidi ya jamii ya watu wa kaskazini ni mbaya sana. Kila anaetoka ukanda huo anamuona mwizi na haaminiki katika jamii.

Maneno yake na serikali yake yanathibitisha hilo. Akumbuke nae atakuwa na mwisho wa utawala vipi kama jamii yake ikijatengwa katika utawala wake?

Akiwa kama rais anapaswa kuwa na hekima, busara na heshima ili kuwa kama mfano kwa viongozi wengine.

Ni hayo tu mwenye nyongeza karibu
Sidhani Kama Raise Ana chuki hiyo unayosema wewe....huo ni utani tu Kama ambavyo amekuwa akifanya kwa makabila mengine yote
 
Alipoingia madarakani wengi tulikuwa Na imani sana, lakini Leo kabadilika hatari sana...
 
Magu Nampenda Sana Apa Machame kuna watu walikua Wanajiona wao ndio wao Lakin Uyu Chalii Ameninyooshea kinyama Ekasaaa Narumu Tunakukubali Mzeee
 
Sidhani Kama Raise Ana chuki hiyo unayosema wewe....huo no utani tu Kama ambavyo amekuwa akifanya kwa makabila mengine yote
Hana Chuki Hata Kidogo maneno tu ya watu wajinga jinga bana
 
Kwa taarifa yko Rais Magufuri Anapendwa sana na wananchi wa khari



NAUNGA MKONO HOJA KWA HERUFI KUBWA!!! nikweli magufuri alipendwa pale awali ila sasa hivi anachukiwa na wengi.
UFAFANUZI WANGU:
magufuri pale awali alipendwa na wengi sababu hata mafisadi, wapiga diri, wauza dawa za kulevya, wapenda rushwa, wazembe kazini, majambazi,vibaka, wanywa viroba,waonevu,viraza, vyeti feki, na washenzi wote! Walijua hataweza kubadiri kitu!. Hata ndani ya ccm walijua hataweza.

Hivyo alivyoapishwa tu! Hakucherewa, akaanza nao fasta, nao wakaingia vitani ! Ila kwakuwa alikuwa upande wa haki huku akimshirikisha mungu mpaka sasa Dk ya 44 kipindi cha kwanza ni ubao wa magori unasoma MAGUFURI 3 KUNDI LA MAJIZI-0
Hivyo mashabiki wachafu wameanza kupungua upande wa JPM , ila wanasahau kuwa UBAYA HUWA HAUUSHINDI WEMA.

NYONGEZA..
Nyongeza nikwamba wale wanyonge waliokata tamaa kwa miaka yte, ambao walifika sehem wakakataa hata kupiga kura! Woooote wameamua kurudi ! Na hakika wanaona uchaguzi unacherewa!
Nahakuna uchaguzi mgumu kwa wapinzani kama kama huu wa 2020! Ccm itapata kura ambazo hazijawahi kutokea.
Magufuri anapendwa sanaaaa na wananchi wanyonge ambao walionewa sana kwa miaka mingi.
Kada umesomeka

Niga from Timbuktu
 
Back
Top Bottom