mgt software
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 13,789
- 7,181
WanaJF.
Moja ya kazi ngumu Rais wetu aliyoifanya ni pamoja na kuifanya jamii kufanya biashara halali. Ilikuwa kazi mgumu kuwaondoa wafanyabiashara matapeli kwani walikuwa washirika wakubwa na viongozi wanaoishikiria serikali. Mwanzo tunaowajua hawa wafanyabiashara tuliogopa sana kwamba wanaweza kumdhuru. Au kumkwamisha au kumtia uoga asiwaguse. Rais alivyoingilia suala la madini, tulijua sasa kagusa papaya.
Kuanzia kwa wafanyabiashara matapeli wa madini waliokuwa wanakutana mikocheni kupanga njama za kuwaibia wazungu. Banda ya rais kutangaza kuwa madini yote yauzwe kwenye minada halali na unatakiwa kuwa na kibali cha kuyamiliki, hivyo wale wahuni hawakuwa na pa kutokea. Wazungu nao walikosa pa kupitia maana nao walikuwa wanachukua madini bila kibali, kuna idadi ya mapolisi wengi ni mabillionia kutokana kwamba mtu akitapeliwa kesi ikifika kwake inazimwa na wazungu walikuwa wanapewa masaa 24 kuondoka. Hawakuwa na jinsi kwani nao walikuwa wezi tu.
Ilifikia mtu akikutangukia kumwaga mchanga na kuamsha msingi kwenye kiwanja chako halali, unaambiwa ni chake kama hutaki mkutane mahakamani. Huko huko utakutana na wanasheria matapeli wanaojua kuchungesha kesi kwa mahakimu matapeli mwisho wasiku unakosa haki na kumwachai Mungu, pengine unatishiwa kupotezwa.
Wapo matapeli walianzisha Bank ndogo kanjanja, wanakupa mikataba inayoyeyuka huku wakikuandikia yakwao na kupandisha marejesho, uhuni huu uliwaumiza sana wafanyakazi, mtu anakopa million 2 anakuja kulipa 6m. Kuna matapeli wa mashamba, walijifanya wawekezaji wakateka mashamba makubwa kwenye vijiji na kuyakopea kwenye mabenk ilihali hawayatumii Kabisa.
Wapo matapeli wa magari, unauziwa gari baadae linakamatwa kuwa liliibiwa utapewa kesi mzito kuwa lilishiriki kwenye tukio hatari mpaka kuua. Hapo utachezeshwa polisi mpaka unaliacha. Matapeli wa kutorosha makontaina, hawa walikuwa matajiri wakubwa wakishirikiana sana na uongozi wa juu, wakontaina yalipigwa mno baada ya kuanzishwa ICD nyingi mitaani ili yaibiwe huko huko au yafaulishe mizigo.
Tuliomachakani tunashukru rais wetu kwani kwa manyanyasho tuliyoyapata enzi za uhai wao matapeli walitutesa balaa. Bado Rais unakazi sana na matapeli wanaotumia viwanja vya CCM Kama kulaza magari, kumbi bado wanakupiga Sana. Kazi nyingine mzito matapeli wa kutengeneza pombe feki za makampuni mbalimbali hawa wanakula na wakubwa mpaka mzigo feki unasindikizwa.