Ikitotanzila
JF-Expert Member
- Sep 22, 2020
- 1,408
- 2,266
Nyie mnaishi wapi. Mbona ujambwzi ndo umetamalaki sasa hivi Mana hawana hela kabisa. Tra wamekuwa majambazi haswaa na kwa sasa ndo wizi imekuwa mkubwa Sana kuliko hata kipindi Cha jk.Ni kwel,kulikuwa na ujambaz wa kufa mtu ziwa Victoria, watu wameuawa sana,watu wameporwa mashine,ila sasa kumetulia,ila wakurungezi wamemchafua kwa uchaguzi wa kijinga