Rais Magufuli aliwahi kuhojiwa na Chombo cha Habari?

Rais Magufuli aliwahi kuhojiwa na Chombo cha Habari?

Kiswahili hajui, kiingereza ndo kabisaaaa zero!
We unafikiri kwanini alikuwa hapendi mahojiano? Achilia mbali uwezo wa kujenga na kutetea hoja kutokuwa nao lakini kikubwa zaidi ni lugha, kiswahili kilikuwa kinampiga chenga, kiingereza ndo alikuwa na bifu nacho, yani hata cha kuombea maji hana
 
Magufuli aliwezaje kupata PhD kama Kiingereza kilikuwa hakipandi?
 
Hajawahi hasa kipindi chake cha pili kile cha dhuluma.. Alikuwa anaogopa sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi karibuni imezuka tabia ya kukwepa majukumu ambayo inapaswa kupingwa kwa hali na mali ndani ya nchi yetu.

Vyama vya upinzani hasa CHADEMA kila wanapopata matatizo kisingizio chao ni hayati rais Magufuli,!

CHADEMA wamesambaza mitandaoni vijana wa kumtetea Mbowe.

Kazi yao ni kuwapumbaza wanachama na wananchi kwa ujumla waone tatizo la CHADEMA ni Magufuli wakati Magufuli hayupo na hakuwahi kuongoza chadema . Kila uzi humu JamiiForums lazima vijana wa Mbowe wataje na kutukana mwendazake!

Mwenyekiti na aliyekabidhiwa usukani wa kuiongoza CHADEMA ni Mbowe lakini hawataki aulizwe chochote.!!!

Kutokana na CHADEMA kufa kila mahali kwa kupoteza mvuto na kukimbiwa na madiwani na wabunge ,viongozi wamebuni mbinu ya kukwepa aibu hii kwa kujificha kwa hayati rais Magufuli!

Viongozi wa CHADEMA wakihojiwa kwa nini chama hakina ofisi watakujibu tatizo ni Magufuli.

Tundu Lissu akiulizwa kuwa yeye ni makamu mwenyekiti wa CHADEMA lakini kwa nini hafanyi kazi za Chadema? Bavichaa watakujibu chanzo ni Magufuli!

Bavicha ukiwauliza kwa nini kamati kuu ya CHADEMA wanafanyia vikao vyao kwenye hoteli za kitalii na kuacha ukumbi wa ufipa ? Utajibiwa tatizo ni hayati Magufuli!

CHADEMA wakiulizwa kwa nini kwenye uchaguzi mliwatosa makada wenu waliokipigania chama, mkabadili gia angani na kutuletea mgombea urais ambaye yupo kwenye list of shame (orodha ya chadema ya mafisadi wakuu wa nchi )? Utajibiwa tatizo ni mwendazake!

BAVICHA na vijana wote mliosambazwa mitandaoni kumtetea Mbowe ,tambueni anayepaswa kuulizwa kuhusiana na mabaya na mazuri ya CHADEMA ni Mbowe na Tundu Lissu hao ndio viongozi wenu mliowapa ridhaa ya kuwaongoza kwa sasa.

Hayati Rais Magufuli hakuwahi kuwa kiongozi wa chadema ,hivyo kukaa mnamhusisha na kuporomoka kwa chama chenu ni kupoteza muda na kuonyesha uzwazwa wa hali ya juu.

Kuporomoka kwa CCM wataulizwa Samia na Chongolo na lazima watoe majibu kwa sababu wao ndiyo viongozi wa CCM kwa sasa.

Kwanini nyinyi hamtaki kupata majibu kwa Mbowe badala yake mnataka majibu yatoke kwa Magufuli?
 
Kiswahili hajui, kiingereza ndo kabisaaaa zero!
We unafikiri kwanini alikuwa hapendi mahojiano? Achilia mbali uwezo wa kujenga na kutetea hoja kutokuwa nao lakini kikubwa zaidi ni lugha, kiswahili kilikuwa kinampiga chenga, kiingereza ndo alikuwa na bifu nacho, yani hata cha kuombea maji hana
Hizo chuki zako tu wala hazna faidaaa,,mara nying mtu ikimchukia unajitahd kulazmisha kila kitu chake kionekane kibaya ....kama hajui kitu alifikaje pale?? wew u aejua uko wapii??? wivu ni uchawi
 
Hivi karibuni imezuka tabia ya kukwepa majukumu ambayo inapaswa kupingwa kwa hali na mali ndani ya nchi yetu.

Vyama vya upinzani hasa CHADEMA kila wanapopata matatizo kisingizio chao ni hayati rais Magufuli,!

CHADEMA wamesambaza mitandaoni vijana wa kumtetea Mbowe.
Wewe unatokea clouds?
 
Back
Top Bottom