Rais Magufuli aliwahi kuhojiwa na Chombo cha Habari?

Rais Magufuli aliwahi kuhojiwa na Chombo cha Habari?

aliyekuambia kuwa Magufuli hakujua kiingereza ni nani?
Mwanafunzi wa UDSM wa miaka ile aache kujua lugha ya malkia
Acha uzwazwa wewe kima.


Magufuli mwenyewe akiwa Iringa alisema kusoma sio kujua kiingereza. Hii ilitokana na yeye kuwa shallow kwenye hiyo lugha
 
Alikukashifu. Halafu kama njaa siyo tusi basi hata ukiitwa humu utulie tuu.
Neno njaa sio tusi, ila ikilitumia kumtukania mtu au kumkashifu ndio kumtukana, na sio kila kutukana ni kutukana matusi, kutukana kungine ni matukano tuu na sio tusi. Mimi kukashifiwa humu na kutukanwa njaa, wala hakunisumbui kabisa!.
P
 
  • Thanks
Reactions: Auz
Kiswahili hajui, kiingereza ndo kabisaaaa zero!
We unafikiri kwanini alikuwa hapendi mahojiano? Achilia mbali uwezo wa kujenga na kutetea hoja kutokuwa nao lakini kikubwa zaidi ni lugha, kiswahili kilikuwa kinampiga chenga, kiingereza ndo alikuwa na bifu nacho, yani hata cha kuombea maji hana
Jamani jamani, mbona jamaa alikuwa antema ng'eng'e Safi tu, mpaka kapata PhD na kiswahili ndio usiseme mbona mnamchukia Sana huyu jamaa?
 
Hakuelewa Dira Taifa ndio Mana akageuka Hittler wa Taifa baada ya ahadi zake Nyingi za Kampeni kuota Mbawa


na Siasa Yenyewe alidandia tu..
Kwa Tanzania ya ajabu ajabu iliyoachwa na Kikwete , tulitakiwa tupate marais kama Magufuli kwa awamu tatu mfululizo ili watanzania mliozoea ku fake maisha muishi kwenye uhalisia wenu
 
Kwa Tanzania ya ajabu ajabu iliyoachwa na Kikwete , tulitakiwa tupate marais kama Magufuli kwa awamu tatu mfululizo ili watanzania mliozoea ku fake maisha muishi kwenye uhalisia wenu
Tulipigwa pale hapakuwa na kiongozi hizi sio zama za kuongeza kwa mkono wa chuma...
 
Hivi karibuni imezuka tabia ya kukwepa majukumu ambayo inapaswa kupingwa kwa hali na mali ndani ya nchi yetu.

Vyama vya upinzani hasa CHADEMA kila wanapopata matatizo kisingizio chao ni hayati rais Magufuli,!

CHADEMA wamesambaza mitandaoni vijana wa kumtetea Mbowe.

Kazi yao ni kuwapumbaza wanachama na wananchi kwa ujumla waone tatizo la CHADEMA ni Magufuli wakati Magufuli hayupo na hakuwahi kuongoza chadema . Kila uzi humu JamiiForums lazima vijana wa Mbowe wataje na kutukana mwendazake!

Mwenyekiti na aliyekabidhiwa usukani wa kuiongoza CHADEMA ni Mbowe lakini hawataki aulizwe chochote.!!!

Kutokana na CHADEMA kufa kila mahali kwa kupoteza mvuto na kukimbiwa na madiwani na wabunge ,viongozi wamebuni mbinu ya kukwepa aibu hii kwa kujificha kwa hayati rais Magufuli!

Viongozi wa CHADEMA wakihojiwa kwa nini chama hakina ofisi watakujibu tatizo ni Magufuli.

Tundu Lissu akiulizwa kuwa yeye ni makamu mwenyekiti wa CHADEMA lakini kwa nini hafanyi kazi za Chadema? Bavichaa watakujibu chanzo ni Magufuli!

Bavicha ukiwauliza kwa nini kamati kuu ya CHADEMA wanafanyia vikao vyao kwenye hoteli za kitalii na kuacha ukumbi wa ufipa ? Utajibiwa tatizo ni hayati Magufuli!

CHADEMA wakiulizwa kwa nini kwenye uchaguzi mliwatosa makada wenu waliokipigania chama, mkabadili gia angani na kutuletea mgombea urais ambaye yupo kwenye list of shame (orodha ya chadema ya mafisadi wakuu wa nchi )? Utajibiwa tatizo ni mwendazake!

BAVICHA na vijana wote mliosambazwa mitandaoni kumtetea Mbowe ,tambueni anayepaswa kuulizwa kuhusiana na mabaya na mazuri ya CHADEMA ni Mbowe na Tundu Lissu hao ndio viongozi wenu mliowapa ridhaa ya kuwaongoza kwa sasa.

Hayati Rais Magufuli hakuwahi kuwa kiongozi wa chadema ,hivyo kukaa mnamhusisha na kuporomoka kwa chama chenu ni kupoteza muda na kuonyesha uzwazwa wa hali ya juu.

Kuporomoka kwa CCM wataulizwa Samia na Chongolo na lazima watoe majibu kwa sababu wao ndiyo viongozi wa CCM kwa sasa.

Kwanini nyinyi hamtaki kupata majibu kwa Mbowe badala yake mnataka majibu yatoke kwa Magufuli?
Tulia kenge wewe
Hilo lizee lilikua lishetan
Kunywa sumu ufe na wewe

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Kiswahili hajui, kiingereza ndo kabisaaaa zero!
We unafikiri kwanini alikuwa hapendi mahojiano? Achilia mbali uwezo wa kujenga na kutetea hoja kutokuwa nao lakini kikubwa zaidi ni lugha, kiswahili kilikuwa kinampiga chenga, kiingereza ndo alikuwa na bifu nacho, yani hata cha kuombea maji hana
Nyie mbwa mnahangaika kama mashoga ya kikurya.
 
Back
Top Bottom