Rais Magufuli aliwahi kuhojiwa na Chombo cha Habari?

Kanyooshwa yeye na kaichia familia take laana!!! Kwa mujibu wa bibilia ni miaka 400
Magufuli baba lao.

Chadema walilia nchi ipate rais Dikteta , maombi yao yakajibiwa wakaanza kulialia tena kama mwanamke malaya
 
Magufuli aliwezaje kupata PhD kama Kiingereza kilikuwa hakipandi ?
Inaposemwa filani hajui kiingereza haina maana hajui hata 'yes' & 'no'. Au kwamba hawezi kariri 'hydroxychlorobenzamide' Unaweza kupata phd lakini ukawa huwezi kuongea sentensi tatu za kiingereza, lakini kijana wa for one akawa na uwezo wa kuongea english fluently. Tukikubali alikua hajui kiingereza sio dhambi. 'Talking point' pia mh..
 
Magufuli baba lao
 
Mtu alijiona Mungu atahojiwaje sasa? alizingua sana ndiomaana mwenye dunia yake akamkata mapemaaaa maana alizidi , alishawahi kujiita majina mengi ikiwwemo la muumba , msimtajetaje sana anaweza kufufuka bureee
 
Kagoma kuhojiwa duniani,lakini ameshindwa kuwagomea malaika wa mungu
 
Nakumbuka aliwahi kusaidiwa kujibu maswali na Museveni baada ya waandishi kuuliza maswali ya moto kwa Kiingereza.
 
nakumbuka wakati fulani alipokuwa ziarani uganda, alipoulizwa swali kwa kingereza na mwandishi wa shirika la habari la kimataifa, alijiumauma kujibu, museveni akaingilia kati kumjibia ili kuokoa jahazi.
 
Nilichogundua Museven ana akili sana..

Alideserve PHD
 
Back
Top Bottom