Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
Alipoulizwa swali kwa kimombo pale Uganda...oooh my God, ilibidi M7 aingilie katiKiswahili hajui, kiingereza ndo kabisaaaa zero!
We unafikiri kwanini alikuwa hapendi mahojiano? Achilia mbali uwezo wa kujenga na kutetea hoja kutokuwa nao lakini kikubwa zaidi ni lugha, kiswahili kilikuwa kinampiga chenga, kiingereza ndo alikuwa na bifu nacho, yani hata cha kuombea maji hana