Kipangaspecial
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 20,778
- 28,722
Acha uzwazwa wewe kima.aliyekuambia kuwa Magufuli hakujua kiingereza ni nani?
Mwanafunzi wa UDSM wa miaka ile aache kujua lugha ya malkia
No hakunitukana, bali alitoa tafsiri ya jina langu kwa Kusukuma, kuwa ni njaa, ila sasa watu humu ndio wanaitumia tafsiri hiyo kunitukana kwa kuniita njaa!.Aliwahi kuitisha mkutano na waandishi wahabari akaishia kumtukana Pascal Mayalla
Alikukashifu. Halafu kama njaa siyo tusi basi hata ukiitwa humu utulie tuu.No hakunitukana, bali alitoa tafsiri ya jina langu kwa Kusukuma, kuwa ni njaa, ila sasa watu humu ndio wanaitumia tafsiri hiyo kunitukana kwa kuniita njaa!.
Yeye alitafsiri tuu maana ya jina na hakutukana.
P
MkapaMagufuli alikimbia kuhojiwa na Zuhura Yunus ile 2015.
Hakuelewa Dira Taifa ndio Mana akageuka Hittler wa Taifa baada ya ahadi zake Nyingi za Kampeni kuota MbawaIla magufuli hata hasingepita pita kwenye madarasa jamaa ni genius na katili tangu kuzaliwa kwake
Neno njaa sio tusi, ila ikilitumia kumtukania mtu au kumkashifu ndio kumtukana, na sio kila kutukana ni kutukana matusi, kutukana kungine ni matukano tuu na sio tusi. Mimi kukashifiwa humu na kutukanwa njaa, wala hakunisumbui kabisa!.Alikukashifu. Halafu kama njaa siyo tusi basi hata ukiitwa humu utulie tuu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]alihojiwa Uganda akajibu "do you love korapseheni"....nadhani hakuelewa swali
M∆t∆k0 yako, ya mama yako, ya marehemu pombe.Kuanzia sasa hivi uko ''under arrest''...amini nakwambia[emoji848]
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Jamani jamani, mbona jamaa alikuwa antema ng'eng'e Safi tu, mpaka kapata PhD na kiswahili ndio usiseme mbona mnamchukia Sana huyu jamaa?Kiswahili hajui, kiingereza ndo kabisaaaa zero!
We unafikiri kwanini alikuwa hapendi mahojiano? Achilia mbali uwezo wa kujenga na kutetea hoja kutokuwa nao lakini kikubwa zaidi ni lugha, kiswahili kilikuwa kinampiga chenga, kiingereza ndo alikuwa na bifu nacho, yani hata cha kuombea maji hana
Kwa Tanzania ya ajabu ajabu iliyoachwa na Kikwete , tulitakiwa tupate marais kama Magufuli kwa awamu tatu mfululizo ili watanzania mliozoea ku fake maisha muishi kwenye uhalisia wenuHakuelewa Dira Taifa ndio Mana akageuka Hittler wa Taifa baada ya ahadi zake Nyingi za Kampeni kuota Mbawa
na Siasa Yenyewe alidandia tu..
Tulipigwa pale hapakuwa na kiongozi hizi sio zama za kuongeza kwa mkono wa chuma...Kwa Tanzania ya ajabu ajabu iliyoachwa na Kikwete , tulitakiwa tupate marais kama Magufuli kwa awamu tatu mfululizo ili watanzania mliozoea ku fake maisha muishi kwenye uhalisia wenu
Alitoka familia duni sana !!! Alishawahi kusema alichangiwa kireti moja ya soda akafunga ndoa ndio maana alipoona watu wanapesa aliwaporaIla magufuli hata hasingepita pita kwenye madarasa jamaa ni genius na katili tangu kuzaliwa kwake
Magufuli alitakiwa kuwanyoosha hadi mjitambueAlitoka familia duni sana !!! Alishawahi kusema alichangiwa kireti moja ya soda akafunga ndoa ndio maana alipoona watu wanapesa aliwapora
Kanyooka yeye kwa mawazo ya ajabu.Magufuli alitakiwa kuwanyoosha hadi mjitambue
Hahaahaah Magufuli aliwanyoosha haswaaa kuanzia rais wenu wa sasa hadi marais wastaafuKanyooka yeye kwa mawazo ya ajabu.
Tulia kenge weweHivi karibuni imezuka tabia ya kukwepa majukumu ambayo inapaswa kupingwa kwa hali na mali ndani ya nchi yetu.
Vyama vya upinzani hasa CHADEMA kila wanapopata matatizo kisingizio chao ni hayati rais Magufuli,!
CHADEMA wamesambaza mitandaoni vijana wa kumtetea Mbowe.
Kazi yao ni kuwapumbaza wanachama na wananchi kwa ujumla waone tatizo la CHADEMA ni Magufuli wakati Magufuli hayupo na hakuwahi kuongoza chadema . Kila uzi humu JamiiForums lazima vijana wa Mbowe wataje na kutukana mwendazake!
Mwenyekiti na aliyekabidhiwa usukani wa kuiongoza CHADEMA ni Mbowe lakini hawataki aulizwe chochote.!!!
Kutokana na CHADEMA kufa kila mahali kwa kupoteza mvuto na kukimbiwa na madiwani na wabunge ,viongozi wamebuni mbinu ya kukwepa aibu hii kwa kujificha kwa hayati rais Magufuli!
Viongozi wa CHADEMA wakihojiwa kwa nini chama hakina ofisi watakujibu tatizo ni Magufuli.
Tundu Lissu akiulizwa kuwa yeye ni makamu mwenyekiti wa CHADEMA lakini kwa nini hafanyi kazi za Chadema? Bavichaa watakujibu chanzo ni Magufuli!
Bavicha ukiwauliza kwa nini kamati kuu ya CHADEMA wanafanyia vikao vyao kwenye hoteli za kitalii na kuacha ukumbi wa ufipa ? Utajibiwa tatizo ni hayati Magufuli!
CHADEMA wakiulizwa kwa nini kwenye uchaguzi mliwatosa makada wenu waliokipigania chama, mkabadili gia angani na kutuletea mgombea urais ambaye yupo kwenye list of shame (orodha ya chadema ya mafisadi wakuu wa nchi )? Utajibiwa tatizo ni mwendazake!
BAVICHA na vijana wote mliosambazwa mitandaoni kumtetea Mbowe ,tambueni anayepaswa kuulizwa kuhusiana na mabaya na mazuri ya CHADEMA ni Mbowe na Tundu Lissu hao ndio viongozi wenu mliowapa ridhaa ya kuwaongoza kwa sasa.
Hayati Rais Magufuli hakuwahi kuwa kiongozi wa chadema ,hivyo kukaa mnamhusisha na kuporomoka kwa chama chenu ni kupoteza muda na kuonyesha uzwazwa wa hali ya juu.
Kuporomoka kwa CCM wataulizwa Samia na Chongolo na lazima watoe majibu kwa sababu wao ndiyo viongozi wa CCM kwa sasa.
Kwanini nyinyi hamtaki kupata majibu kwa Mbowe badala yake mnataka majibu yatoke kwa Magufuli?
Do you mean BBC, Aljazeera,CNN, DW ama?Toka aapishwe kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania hadi anafariki, rais Magufuli aliwahi kufanya mahojiano na Chombo chochote cha Habari?
Mwenye link anisaidie.
Kanyooshwa yeye na kaichia familia take laana!!! Kwa mujibu wa bibilia ni miaka 400Magufuli alitakiwa kuwanyoosha hadi mjitambue
Nyie mbwa mnahangaika kama mashoga ya kikurya.Kiswahili hajui, kiingereza ndo kabisaaaa zero!
We unafikiri kwanini alikuwa hapendi mahojiano? Achilia mbali uwezo wa kujenga na kutetea hoja kutokuwa nao lakini kikubwa zaidi ni lugha, kiswahili kilikuwa kinampiga chenga, kiingereza ndo alikuwa na bifu nacho, yani hata cha kuombea maji hana
Hata mimba bila kuwashwa.Kama magufuli alipata phd bila kujua kiingereza basi hata mimi naweza kupata Masters bila kwenda chuo