Kipangaspecial
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 20,778
- 28,722
Magufuli baba lao.Kanyooshwa yeye na kaichia familia take laana!!! Kwa mujibu wa bibilia ni miaka 400
Inaposemwa filani hajui kiingereza haina maana hajui hata 'yes' & 'no'. Au kwamba hawezi kariri 'hydroxychlorobenzamide' Unaweza kupata phd lakini ukawa huwezi kuongea sentensi tatu za kiingereza, lakini kijana wa for one akawa na uwezo wa kuongea english fluently. Tukikubali alikua hajui kiingereza sio dhambi. 'Talking point' pia mh..Magufuli aliwezaje kupata PhD kama Kiingereza kilikuwa hakipandi ?
Hili ni jukwaa huru sio mahakama!
Yah! Angejitahidi angefika level ya kina Amin, Hitler and the like.Ila Magu alikuwa kichwa tena kichwa kweliii..
Kama asingekuwa kichwa hakuna mtu angemjadili mpaka leo
Inawezekana pasco alipigagwa bonge la biti akaona bora aunge juhudi tu.Kusifu na kuabudu Pascal Mayalla alianza baada ya kuitwa na kamati ya nidhamu Dodoma.
Kanyooshwa yeye na laana juuu kwa kizazi chake ni miaka400 brooHahaahaah Magufuli aliwanyoosha haswaaa kuanzia rais wenu wa sasa hadi marais wastaafu
Magufuli baba laoInaposemwa filani hajui kiingereza haina maana hajui hata 'yes' & 'no'. Au kwamba hawezi kariri 'hydroxychlorobenzamide' Unaweza kupata phd lakini ukawa huwezi kuongea sentensi tatu za kiingereza, lakini kijana wa for one akawa na uwezo wa kuongea english fluently. Tukikubali alikua hajui kiingereza sio dhambi. 'Talking point' pia mh..
hahahaha kuna video alikuwa Uganda kuna mwandishi akamshindlia swali, sio kwa povu lile la marehemu jiwe ugeniniYangekuwa mahojiano ama kufokewa?
Ndio unaweza. Kuna watu unawalipa hela na wanakuandika research.Kama Magufuli alipata phd bila kujua kiingereza basi hata mimi naweza kupata Masters bila kwenda chuo
Nilichogundua Museven ana akili sana..nakumbuka wakati fulani alipokuwa ziarani uganda, alipoulizwa swali kwa kingereza na mwandishi wa shirika la habari la kimataifa, alijiumauma kujibu, museveni akaingilia kati kumjibia ili kuokoa jahazi.